aspen JF-Expert Member Jul 13, 2011 501 165 Dec 4, 2011 #1 wandungu ningependa tufahamishane bei za mabati za kuezeka na ubora wake pia kuna za ando, decra, IT na zingine naamini kuna wajuzi humu jamvini nawasilisha
wandungu ningependa tufahamishane bei za mabati za kuezeka na ubora wake pia kuna za ando, decra, IT na zingine naamini kuna wajuzi humu jamvini nawasilisha