Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,285
- 39,491
CR7 anatumika kuitangaza Saudi Arabia,na atawasaidia kama balozi watapowania kuandaa WC 2030
WC 2030 itakua ngumu sana kwa Asia maana baada ya America ni Africa, Europe then ndo Asia
unajua mwili ni kitu simple yet complicated,ukiamua kuishi simple tu kama Mmasai na shuka lake wala hauna shida ilimradi uwe na zile basic needs tu,lakini pia ukiamua ku complicate hata upewe dunia utaona haitoshi.