Ronaldo kavaa kufuli ya kike kata....

Yaani hamtataki kusumbua vichwa kabisaa, kila mnachoona mnatoa coments tu! hiyo yaweza kuwa picha duka (photoshop)
 
Mambo ya Adobephoto hayo. Mie haini ingii akilini. Kisayansi mtu anae funguliwa buti hawezi kuwa na nguvu kwani atashindwa bana pumnzi ili ku restore energy. Angalia wamama wakati wa kujifungua wanavyo pata shida. Hivyo Cr7 asingeweza cheza mpira kwa nguvu. Acheni uzushi.
 
Yaani hamtataki kusumbua vichwa kabisaa, kila mnachoona mnatoa coments tu! hiyo yaweza kuwa picha duka (photoshop)

Hizo chupi za kiume zipo, kama vipi pita Quality Centre, kule juu kuna duka la vyupi ulizia hiyo modeli.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…