Ronaldo atorokea Morocco Tena

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
rona.jpg

Safari za Cristiano Ronaldo kwenda Morocco zilimletea skendo kubwa kipindi kilichopita licha ya yeye mwenyewe kupotezea huo uvumi.

Hivi sasa kuhusu Ronaldo imeripotiwa kwamba ameenda tena Morocco bila club kuwa na taarifa. Mbaya zaidi Ronaldo hakutaka kuficha kwasababu ali post picha ambayo inaonyesha mazingira ya Morocco akiwa na alcohol mezani.

Gazeti moja la Spain limesema kwamba Rais wa Real Madrid huwa hafurahishwi na safari za Ronaldo kwenda Morocco bila club kuwa na taarifa. Gazeti hilo limeendelea kutoa taarifa kwamba Perez anataka kupewa taarifa kila Ronaldo anavyosafiri kwenda Morocco bila taarifa.

CR7 huwa anasafiri ghafla kwenda Morocco kwasababu anamiliki ndege yake binafsi inayomfanya asafiri muda wowote anaotaka.Safari ndefu kati kati ya msimu kama sasa hivi mara nyingi zinahitaji ruhusa maalum kutoka kwenye uongozi wa club.
 
rona32.jpg

Mmh hagegenwi huyo
 
acheni kumzushia mtu kila siku, mbona goal.com hawajaandika huo upumbavu wenu???? labda ndugu zenu ndo homosexual. mnafaidika na nini kuwazushia mastar???? u'r a moron Nigga.
 
Tuache kua wazushi pia chuki na ushabiki wenu wa kijinga wa barca usiwafanye muwe mnatoa matusi na ziaka kwa wengine jamaa kafungua hotel Morocco lkn nyie mnatunga upuuzi
 
sasa unachobisha ni kip au wewe ndio meneja wa hyo bar AU KWA NAMNA nyingine habar imekugusa
 
Back
Top Bottom