BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 779
- 1,267
Siku ya jana Ronaldo, The Greates Football Player of all times amefunga goli la 700 katika maisha yake ya soka. Idadi hiyo ya magoli inajumuisha magoli ya mechi alizocheza kwa ngazi ya klabu na timu yake ya taifa.
Mchezaji huyo bora mara 5 wa Dunia amezidi kudhihirisha kuwa ni mchezaji bora aliyewahi kutokea katika sayari hii (Pele nisamehe sababu ni ngumu kulinganisha ulimwengu wenu wa soka na huu wa sasa)
Mbali na mafanikio yake katika ngazi ya klabu ambako amebeba vikombe mbalimbali akiwa Manchester United, Real Madrid na sasa Juventus, Ronaldo maarufu kama CR7 amethibitisha kuwa ni mchezaji ambaye anaweza kupata mafanikio kisoka katika ligi yoyote kubwa duniani na katika soka la ngazi ya klabu au timu ya taifa.
Kiwango cha Ronaldo kinazidi kumuweka mbali kimafanikio yeye na mpinzani wake wa karibu Lionel Messi