Kinumbo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 2,742
- 4,932
Mchezaji wa klabu ya Inter Miami ya Marekani amezidi kuudhirishia ulimwengu kuwa yeye bado ni mchezaji bora zaidi. Messi mpaka sasa amecheza michezo mitatu na amefunga magoli 5 pamoja na assist 1 yaani amehusika katika magoli 6 katika michezo 3 pekee wastani wa magoli 2 kila mchezo. Na bado anaendelea kukiwasha kila uchwao.
Binafsi naona Messi hakufaa kwenda Marekani kiwango chake bado kinamruhusu kuendelea kucheza katika bara la Ulaya, ilikuwa ni mapema sana kwenda huko.
Binafsi naona Messi hakufaa kwenda Marekani kiwango chake bado kinamruhusu kuendelea kucheza katika bara la Ulaya, ilikuwa ni mapema sana kwenda huko.