Ronaldo alimaanisha nini hapa?

Ronaldo alimaanisha nini hapa?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,977
Reaction score
37,878


BmabY8nIQAArReO.jpg



















Wengine wanasema alimaanisha " TUMEWAPIGA NJE NDANI "

Wengine wanasema alimaanisha " MAGOLI KUMI NA TANO "

Wadau hebu fungukeni.
 
Hata mimi natamani kujua sana,sijui kama alishasema alikuwa anamaanisha nini.

The best!
 
Alimaanisha kwamba amevunja recodi ya kufunga mabao 15 na kumpita messi ambae amefunga mabao 14 katika record yake
 
Alimaanisha magoli 15 so kavunja rekodi ya Messi,alikuwa anaonyesha mikono miwili then mmoja kumaanisha 15
 
kuwa alikuwa ame-score magoli 15 kabla hajaongezea lile la kumi na sita.
 
Allikua haoneshi 10 bali alionesha 15


Alionesha 10 kwanza akimaanisha mechi 10 kisha 15 akimaanisha goli 15, maana Messi alikuwa na rekodi ya goli 14 aliyoyafunga kwa mechi 11, kwamba amevunja rekodi kwa mechi chache zaidi.
 
Back
Top Bottom