Ronald Reagan dubbed African UN delegates MONKEYS and Tanzanian as Cannibals.

Namuunga mkono kwani hata sisi wenyewe tunaitana "cannibals". Kwa Kiswahili si tunasema wanga wanakula nyama za watu? Tatizo nini?

Na hilo la nyani si mapunguani wengi humu wanaukubali upumbavu wa "evolution theory"?

Yupo sahihi kabisa.
 
It was his opinion back then, hopefully we have evolved to become humans (still doubting)
I can imagine if he was alive during Obama's tenure in office inside USA white House and he salutes Mr.Obama. Ni bahati yake aliondoka mapema ktk uso wa dunia.
 
Sometimes najiulizaga sana why blacks tuliumbwa na Mungu in this way but Napata faraja na maandiko, kuna sehemu Biblia inasema hivi, (Ikimnukuu Yesu), "....nami niliifurahia dunia iliyokaliwa na watu" so nikajitengenezea tafsiri kwamba, kama mimi ninayo bustani ya maua (say napenda maua) then nitayapanda ya aina mbalimbali kwa rangi tofauti tofauti. Swali langu ambalo hua najiuliza sana kuhusu black race ni hili, mbona kila alipo mtu mweupe ni kama hua tunapoteza kabisa kujiamini? Fikiria Enzi za biashara ya utumwa, mwarabu/mweupe mmoja tu aliweza kuswaga binadamu wal (weusi) kwa mamia yao yeye akiwa mmoja tu? Hivi tofauti yetu na Wanyama hapo ni IPI? Yaani wale babu zetu walishindwa kumpiga yule mweupe mmoja ili wawe HURU!? Sielewagi kabisa. Miaka ya nyuma wakati ndio TRA yetu ikiwa mpya mpya kabisa na hasa kipindi VAT inaanzishwa, eti kulikua na mzungu 1 pale makao makuu ya TRA kama VAT advisors? Kweli???? Nilikua nawafahamu wasomi wazuri tu pale TRA wenye vyeti vizuri tu kuliko yule mzungu, why him and not those black guys? Well, mashirika mbalimbali ya kimataifa yaliopo hpa Bongo, ma managing directors wao utakuata wana degree 1 tu but wanakimbiza wenye degree kadhaa wa kibongo; tatizo hua ni nini? MD wa airtel, Vodacom, tiGo nk wana vyeti vya kawaida sana kulinganisha na wa kwetu wa TTCL, yule wa zamani alikua anazo degree 3, angalia performance na ubunifu. Nenda kwenye vilabu vyetu vya mpira, Simba na Yanga wakiwana na Mhindi, mambo huaga ni moto kweli kweli, angalia wakikalia waswahili pale? TATIZO ni NINI for black race?????? Hili swali nitakuja muuliza muumba wetu siku tukikutana. Najua kuna watu watajibu, majibu yao mengi nina hakika yatakua ya kujitetea Zaidi kuliko facts!
Tatizo letu watu weusi ni kutokuwa na "self esteem", vile vile kutokuwa na "self confidence".. Hizo ndio sababu mbili muhimu, ziko nyingi..

Nini Kinafanya Mwafrika asiwe na hivyo vitu viwili muhimu katika maisha, si Jengine bali ni malezi..

Mwafrika tunavyolea watoto wetu, kwa Matusi na viboko, pamoja na masimango, mtoto hawezi hata siku moja kujiamini, kujidai na kujiona yeye bora, isipokuwa mtoto anatengeneza nidhamu ya woga maishani kwake,..

Mtoto ana pokuwa mkubwa wenye mjukumu anakuwa hawezi kutoa maamuzi magumu, anapotoa maamuzi huwa ya kutisha, ya kunyanyasa, nk,

Mwafrika abadilishe mfumo wa kulea mtoto, Mwafrika atakuwa kama Binaadamu mwengine, manyanyaso., maomevu yataondoka
 
Tatizo letu watu weusi ni kutokuwa na "self esteem", vile vile kutokuwa na "self confidence".. Hizo ndio sababu mbili muhimu, ziko nyingi..

Nini Kinafanya Mwafrika asiwe na hivyo vitu viwili muhimu katika maisha, si Jengine bali malezi..

Mwafrika tunvyolea watoto wetu, kwa Matusi na viboko, pamoja na masimango, mtoto hawezi hata siku moja kujiamini, kujidai na kukuona yeye bora, isipokuwa mtoto anatengeneza nidhamu ya woga maishani kwake,..

Mtoto ana pouwa mkubwa wenye mjukumu anakuwa hawezi kutoa maamuzi magumu, anapotoa maamuzi huwa ya kutisha, ya kunyanyasa, ya kuongea nk,

Mwafrika abadilishe mfumo wa kulea mtoto, Mwafrika atakuwa kama Binaadamu mwengine, manyanyaso., maomevu yataondoka
Very positive reply; kama miongoni mwa wazazi, I take this advice positively!
 
Sometimes najiulizaga sana why blacks tuliumbwa na Mungu in this way but Napata faraja na maandiko, kuna sehemu Biblia inasema hivi, (Ikimnukuu Yesu), "....nami niliifurahia dunia iliyokaliwa na watu" so nikajitengenezea tafsiri kwamba, kama mimi ninayo bustani ya maua (say napenda maua) then nitayapanda ya aina mbalimbali kwa rangi tofauti tofauti. Swali langu ambalo hua najiuliza sana kuhusu black race ni hili, mbona kila alipo mtu mweupe ni kama hua tunapoteza kabisa kujiamini? Fikiria Enzi za biashara ya utumwa, mwarabu/mweupe mmoja tu aliweza kuswaga binadamu wal (weusi) kwa mamia yao yeye akiwa mmoja tu? Hivi tofauti yetu na Wanyama hapo ni IPI? Yaani wale babu zetu walishindwa kumpiga yule mweupe mmoja ili wawe HURU!? Sielewagi kabisa. Miaka ya nyuma wakati ndio TRA yetu ikiwa mpya mpya kabisa na hasa kipindi VAT inaanzishwa, eti kulikua na mzungu 1 pale makao makuu ya TRA kama VAT advisors? Kweli???? Nilikua nawafahamu wasomi wazuri tu pale TRA wenye vyeti vizuri tu kuliko yule mzungu, why him and not those black guys? Well, mashirika mbalimbali ya kimataifa yaliopo hpa Bongo, ma managing directors wao utakuata wana degree 1 tu but wanakimbiza wenye degree kadhaa wa kibongo; tatizo hua ni nini? MD wa airtel, Vodacom, tiGo nk wana vyeti vya kawaida sana kulinganisha na wa kwetu wa TTCL, yule wa zamani alikua anazo degree 3, angalia performance na ubunifu. Nenda kwenye vilabu vyetu vya mpira, Simba na Yanga wakiwana na Mhindi, mambo huaga ni moto kweli kweli, angalia wakikalia waswahili pale? TATIZO ni NINI for black race?????? Hili swali nitakuja muuliza muumba wetu siku tukikutana. Najua kuna watu watajibu, majibu yao mengi nina hakika yatakua ya kujitetea Zaidi kuliko facts!
Seems like you are not well informed.
Mifano yako mingi kuhalalisha "Black inferiority" ni butu sana.
Kwa mfano umezungumzia biashara ya Utumwa na ukasema "Mwarabu mmoja aliweza kuswaga mamia ya watu weusi na hawakuweza kumfanya chochote".
This is not just a mere fallacy but a naked lie.
Inaonekana hujui chochote kuhusu biashara ya Utumwa.
 
Weka unacho kijua, kuuficha ukweli ni sawa na uongo tu.
 
Hasira za mkizi...

Sababu tu African wamepiga kura ya hapana kwa US ndiyo anatuita Monkeys...

Anyways kisichotuua kitatukomaza ki-Askari... anavyotuchukia anadihihirisha sisi ni wakali...

Cc: mahondaw
Wewe umechangia in present tense wakati haya yalitokea kwenye mkutano wa UN 1971. Yawezekana ulikuwa hujazaliwa ila Mwalimu alitoa hotuba na kuchagiza China iruhusiwe kuwa mwanachama. He won the votes.
Je, tangu China iwe mwanachama tumepata faida ngapi toka kwao na je tumeliwa kiasi gani toka kwao? Hao wanaokwenda China wanarudi na stori za ubaguzi wa kupindukia je, tuliwin nini? Kila siku tunasikiliza redioni misaada inayotolewa na US ya kiafya, wachina wametusaidia nini zaidi ya kujenga miundo mbinu inayochakaa baada ya muda mfupi na kuchukua 10%
Rudia kusoma alichoandika umuelewe.
 
RONALD REAGAN once described African delegates to the UN as ‘monkeys’ in a call with then-president Richard Nixon, newly unearthed tapes have revealed.
The outburst, in 1971, came a day after the UN had voted to recognise China and expel Taiwan from the organisation.
Mr Reagan, who was the Republican governor of California at the time, was angry that African delegates had sided against the US in the vote.
In a phone call to the White House, he said: ‘To see those… monkeys from those African countries — damn them, they’re still uncomfortable wearing shoes!’
Mr Nixon, who quit as president in 1974, can be heard laughing.

The recordings have been published in The Atlantic magazine by Tim Naftali, a former director of the Nixon presidential library and clinical associate professor of history at New York University. He said the tape was initially published in 2000, when Mr Reagan was still alive, but the racist portion was withheld to protect his privacy.
‘I requested conversations involving Ronald Reagan be re-reviewed and, two weeks ago, the National Archives released complete versions,’ he added.
Mr Naftali also reported Mr Nixon later told his secretary of state that Mr Reagan, who served as US president from 1981 to 1989, had described the Tanzanian UN delegation as ‘cannibals’ who ‘weren’t even wearing shoes’.
Mr Naftali said the tapes ‘shed new light’ on the stance Mr Reagan took to defend the apartheid states of Rhodesia and South Africa in the 1970s.
Mr Reagan died in 2004, aged 93, after suffering from Alzheimer’s disease.

Kuweka Historia sawa, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa alikuwa ni Israel Elinewinga wakati huo Balozi Salim Ahmed Salim alikuwa mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

IMG_20190802_095341.jpg
 
Very positive reply; kama miongoni mwa wazazi, I take this advice positively!
Thanks, there is a big different between African and other race on how we parenting our kids..

Kuanzia miaka sita (6) ubongo wa mtoto unanza kuweka kumbukumbu, kama mtoto utanza kumleta kwa Matusi, mfano kwa kumwita Mjinga, Mpumbavu, huwezi chochote wewe nk, ikiwemo na viboko bila ya kumfahamisha kosa Lake,..

Mtoto huyo atakuwa na kuamini yeye yuko hivyo, kumbukumbu ya Ubongo wake utakuwa unamwambia kuwa yeye yuko hivyo..

Uthubutu, kujiamini, maamuzi yake na mambo mengine atakuwa anayafanya kwa nidhamu ya woga sio ya kujiamini..

Kama hujiamini huwezi kuheshimiwa utaonekna kuwa mtu wa chini tu, na hivyo ndiyo tunvyoonekana na Wengine, tunawafanya wenyewe watudharau wauone watu wa chini kwa tabia zetu
 
Habari hii mfikishieni Lisu kwamba pamoja na kukikomba kote wazungu wanamuona yeye nyani tu!
 
Back
Top Bottom