Semistocles
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,934
- 1,121
Hata kuwa nyani ni uamuzi tu!kwan mashoga si ni uamuziii!!!??
Hata kuwa nyani ni uamuzi tu!kwan mashoga si ni uamuziii!!!??
huyu mzungu alikuwa anagawa dozi kali... maneno gani haya!Sina maana hiyo mkuu Bali ni udhalilishaji mkubwa
Huyo huyo Regan alipopata madaraka tu alisema black people wameumbwa kuwachezea ngoma weupe na kuwafurahisha tu nothing else
Hayo ni maneno yake pia
Sikweli ila baadhi ya matendo yetu yanaleta utata sana.Kwa hiyo sisi kuitwa nyani ni ukweli na si tusi.
huyu mzungu alikuwa anagawa dozi kali... maneno gani haya!
I still doubtIt was his opinion back then, hopefully we have evolved to become humans (still doubting)
Unakutana na mtu anajitutumua kwamba waafrika wapo sawa mentally. Baadae unamsikia Waitara anawaambia wananchi wanaomuita Rais mshamba akikutana nao atamalizana nao gizani. Unabaki kushika kichwa.Sikweli ila baadhi ya matendo yetu yanaleta utata sana.
Karne ya 21 Viongozi wenye nyadhifa kubwa wanafanya siasa za kishamba hii ni zaidi ya u- monkey.Unakutana na mtu anajitutumua kwamba waafrika wapo sawa mentally. Baadae unamsikia Waitara anawaambia wananchi wanaomuita Rais mshamba akikutana nao atamalizana nao gizani. Unabaki kushika kichwa.
I can imagine if he was alive during Obama's tenure in office inside USA white House and he salutes Mr.Obama. Ni bahati yake aliondoka mapema ktk uso wa dunia.It was his opinion back then, hopefully we have evolved to become humans (still doubting)
Tatizo letu watu weusi ni kutokuwa na "self esteem", vile vile kutokuwa na "self confidence".. Hizo ndio sababu mbili muhimu, ziko nyingi..Sometimes najiulizaga sana why blacks tuliumbwa na Mungu in this way but Napata faraja na maandiko, kuna sehemu Biblia inasema hivi, (Ikimnukuu Yesu), "....nami niliifurahia dunia iliyokaliwa na watu" so nikajitengenezea tafsiri kwamba, kama mimi ninayo bustani ya maua (say napenda maua) then nitayapanda ya aina mbalimbali kwa rangi tofauti tofauti. Swali langu ambalo hua najiuliza sana kuhusu black race ni hili, mbona kila alipo mtu mweupe ni kama hua tunapoteza kabisa kujiamini? Fikiria Enzi za biashara ya utumwa, mwarabu/mweupe mmoja tu aliweza kuswaga binadamu wal (weusi) kwa mamia yao yeye akiwa mmoja tu? Hivi tofauti yetu na Wanyama hapo ni IPI? Yaani wale babu zetu walishindwa kumpiga yule mweupe mmoja ili wawe HURU!? Sielewagi kabisa. Miaka ya nyuma wakati ndio TRA yetu ikiwa mpya mpya kabisa na hasa kipindi VAT inaanzishwa, eti kulikua na mzungu 1 pale makao makuu ya TRA kama VAT advisors? Kweli???? Nilikua nawafahamu wasomi wazuri tu pale TRA wenye vyeti vizuri tu kuliko yule mzungu, why him and not those black guys? Well, mashirika mbalimbali ya kimataifa yaliopo hpa Bongo, ma managing directors wao utakuata wana degree 1 tu but wanakimbiza wenye degree kadhaa wa kibongo; tatizo hua ni nini? MD wa airtel, Vodacom, tiGo nk wana vyeti vya kawaida sana kulinganisha na wa kwetu wa TTCL, yule wa zamani alikua anazo degree 3, angalia performance na ubunifu. Nenda kwenye vilabu vyetu vya mpira, Simba na Yanga wakiwana na Mhindi, mambo huaga ni moto kweli kweli, angalia wakikalia waswahili pale? TATIZO ni NINI for black race?????? Hili swali nitakuja muuliza muumba wetu siku tukikutana. Najua kuna watu watajibu, majibu yao mengi nina hakika yatakua ya kujitetea Zaidi kuliko facts!
Very positive reply; kama miongoni mwa wazazi, I take this advice positively!Tatizo letu watu weusi ni kutokuwa na "self esteem", vile vile kutokuwa na "self confidence".. Hizo ndio sababu mbili muhimu, ziko nyingi..
Nini Kinafanya Mwafrika asiwe na hivyo vitu viwili muhimu katika maisha, si Jengine bali malezi..
Mwafrika tunvyolea watoto wetu, kwa Matusi na viboko, pamoja na masimango, mtoto hawezi hata siku moja kujiamini, kujidai na kukuona yeye bora, isipokuwa mtoto anatengeneza nidhamu ya woga maishani kwake,..
Mtoto ana pouwa mkubwa wenye mjukumu anakuwa hawezi kutoa maamuzi magumu, anapotoa maamuzi huwa ya kutisha, ya kunyanyasa, ya kuongea nk,
Mwafrika abadilishe mfumo wa kulea mtoto, Mwafrika atakuwa kama Binaadamu mwengine, manyanyaso., maomevu yataondoka
Seems like you are not well informed.Sometimes najiulizaga sana why blacks tuliumbwa na Mungu in this way but Napata faraja na maandiko, kuna sehemu Biblia inasema hivi, (Ikimnukuu Yesu), "....nami niliifurahia dunia iliyokaliwa na watu" so nikajitengenezea tafsiri kwamba, kama mimi ninayo bustani ya maua (say napenda maua) then nitayapanda ya aina mbalimbali kwa rangi tofauti tofauti. Swali langu ambalo hua najiuliza sana kuhusu black race ni hili, mbona kila alipo mtu mweupe ni kama hua tunapoteza kabisa kujiamini? Fikiria Enzi za biashara ya utumwa, mwarabu/mweupe mmoja tu aliweza kuswaga binadamu wal (weusi) kwa mamia yao yeye akiwa mmoja tu? Hivi tofauti yetu na Wanyama hapo ni IPI? Yaani wale babu zetu walishindwa kumpiga yule mweupe mmoja ili wawe HURU!? Sielewagi kabisa. Miaka ya nyuma wakati ndio TRA yetu ikiwa mpya mpya kabisa na hasa kipindi VAT inaanzishwa, eti kulikua na mzungu 1 pale makao makuu ya TRA kama VAT advisors? Kweli???? Nilikua nawafahamu wasomi wazuri tu pale TRA wenye vyeti vizuri tu kuliko yule mzungu, why him and not those black guys? Well, mashirika mbalimbali ya kimataifa yaliopo hpa Bongo, ma managing directors wao utakuata wana degree 1 tu but wanakimbiza wenye degree kadhaa wa kibongo; tatizo hua ni nini? MD wa airtel, Vodacom, tiGo nk wana vyeti vya kawaida sana kulinganisha na wa kwetu wa TTCL, yule wa zamani alikua anazo degree 3, angalia performance na ubunifu. Nenda kwenye vilabu vyetu vya mpira, Simba na Yanga wakiwana na Mhindi, mambo huaga ni moto kweli kweli, angalia wakikalia waswahili pale? TATIZO ni NINI for black race?????? Hili swali nitakuja muuliza muumba wetu siku tukikutana. Najua kuna watu watajibu, majibu yao mengi nina hakika yatakua ya kujitetea Zaidi kuliko facts!
Weka unacho kijua, kuuficha ukweli ni sawa na uongo tu.Seems like you are not well informed.
Mifano yako mingi kuhalalisha "Black inferiority" ni butu sana.
Kwa mfano umezungumzia biashara ya Utumwa na ukasema "Mwarabu mmoja aliweza kuswaga mamia ya watu weusi na hawakuweza kumfanya chochote".
This is not just a mere fallacy but a naked lie.
Inaonekana hujui chochote kuhusu biashara ya Utumwa.
Wewe umechangia in present tense wakati haya yalitokea kwenye mkutano wa UN 1971. Yawezekana ulikuwa hujazaliwa ila Mwalimu alitoa hotuba na kuchagiza China iruhusiwe kuwa mwanachama. He won the votes.Hasira za mkizi...
Sababu tu African wamepiga kura ya hapana kwa US ndiyo anatuita Monkeys...
Anyways kisichotuua kitatukomaza ki-Askari... anavyotuchukia anadihihirisha sisi ni wakali...
Cc: mahondaw
RONALD REAGAN once described African delegates to the UN as ‘monkeys’ in a call with then-president Richard Nixon, newly unearthed tapes have revealed.
The outburst, in 1971, came a day after the UN had voted to recognise China and expel Taiwan from the organisation.
Mr Reagan, who was the Republican governor of California at the time, was angry that African delegates had sided against the US in the vote.
In a phone call to the White House, he said: ‘To see those… monkeys from those African countries — damn them, they’re still uncomfortable wearing shoes!’
Mr Nixon, who quit as president in 1974, can be heard laughing.
The recordings have been published in The Atlantic magazine by Tim Naftali, a former director of the Nixon presidential library and clinical associate professor of history at New York University. He said the tape was initially published in 2000, when Mr Reagan was still alive, but the racist portion was withheld to protect his privacy.
‘I requested conversations involving Ronald Reagan be re-reviewed and, two weeks ago, the National Archives released complete versions,’ he added.
Mr Naftali also reported Mr Nixon later told his secretary of state that Mr Reagan, who served as US president from 1981 to 1989, had described the Tanzanian UN delegation as ‘cannibals’ who ‘weren’t even wearing shoes’.
Mr Naftali said the tapes ‘shed new light’ on the stance Mr Reagan took to defend the apartheid states of Rhodesia and South Africa in the 1970s.
Mr Reagan died in 2004, aged 93, after suffering from Alzheimer’s disease.
Thanks, there is a big different between African and other race on how we parenting our kids..Very positive reply; kama miongoni mwa wazazi, I take this advice positively!