Ni kitu ya modelling kamanda. Jamaa ana 'my-waifu' wake na najua
atamaindi hizi picha kweli. Hebu fikiria alimchunia Artest kuenda bachelor
party ya Lamar Odom...nd'o iwe hii?
Ngoja niulize hizi picha za Ron Artest amezipiga kwa jaili ya tangazo au basi tu makeke? Hahah mke (Kimisha) wake sio mzuri kulinganisha na huyu dada kwenye hizi picha, lakini ndio hivyo wameanza tangu Artest yuko projects.