Ron Artest's Interesting Pics

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
Kweli ukienda L.A. mambo hubadilika. Sijui kwa nini

ept_sports_nba_experts-868774883-1254757668.jpg





Ukisikia mama watoto keshaanza basi usilalamike....
 
Aisee kiongozi hebu tuweke kwenye mwanga kidogo. 'Hiyo kitu' ni yake au ni mambo ya modelling?
 
Aisee kiongozi hebu tuweke kwenye mwanga kidogo. 'Hiyo kitu' ni yake au ni mambo ya modelling?
Ni kitu ya modelling kamanda. Jamaa ana 'my-waifu' wake na najua
atamaindi hizi picha kweli. Hebu fikiria alimchunia Artest kuenda bachelor
party ya Lamar Odom...nd'o iwe hii?
 
Ngoja niulize hizi picha za Ron Artest amezipiga kwa jaili ya tangazo au basi tu makeke? Hahah mke (Kimisha) wake sio mzuri kulinganisha na huyu dada kwenye hizi picha, lakini ndio hivyo wameanza tangu Artest yuko projects.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom