Romney's Lying Machine

Romney's Lying Machine

Al Gore nae bana, eti wewe mpaka kwenu hawakupendi, ila hawa watu hawatabiriki. Wanapenda wale watu wa ajabu ajabu, yaani wale waongo, wababe, na mbumbumbu!.

Hapana bana. Bush wote wawili hawakuwa mbumbumbu. Reagan naye hakuwa hivyo licha ya liberal media kumfanya aonekane hivyo.

Na kamwe huwezi ku attach hiyo label ya umbumbumbu kwa Mitt Romney.
 
Hapana bana. Bush wote wawili hawakuwa mbumbumbu. Reagan naye hakuwa hivyo licha ya liberal media kumfanya aonekane hivyo.

Na kamwe huwezi ku attach hiyo label ya umbumbumbu kwa Mitt Romney.
Bush senior alikuwa smart, Bush W sigara kubwa ilim-athiri, mpaka leo neno nuclear kwake kulitamka ni issue. Uzuri wake alikuwa anajisemea ukweli wake tu, kwamba yeye alikuwa C-student wakati yupo Yale!.
 
Na ndiyo maana Mitt R ameshaanza kuporomoka kwenye polls!!! Waamerika hawadanganywi toto kama sisi Watanzania. They weigh out!!

:roll:

Wewe siasa za marekani unazijua kweli? Wamarekani wanadanganywa sana tena. Republicans na Democrats wote ni sawa. Mimi nawaita Democans au Republicrats maana hawana tofauti. Msikilize huyu mama anavyoongea.

Last edited by a moderator:
At his press conference, Romney accused Obama of "having that embassy reiterate a statement effectively apologizing for the right of free speech." Romney claimed that the embassy had said, in his paraphrase, "We stand by our comments that suggest that there's something wrong with the right of free speech." This, too, was a Romney lie. The embassy had declared five times in writing that free speech was a universal right.

What made Romney's statement and press conference disturbing, however, was his repeated use of the

Read more: Is Romney a Habitual Liar? Or Is He Instead Something Even More Dangerous: God-Awful Stupid? [Updated] | Angry Bear - Financial and Economic Commentary
 
Lying, incompetent, classless--Willard's got it all, doesn't he? Instead of being dignified in the face of the tragic events in the Middle East, he chose to lie about them. After all, it fits in with his LIE that President Obama went around the world "apologizing" for America. Ruth Marcus is appropriately disgusted here:

Romney the Liar
 
rtl_800x150_b.png

Romney the Liar
 
How humiliating it must be to be a RepubliCan't (?) LMAO
 
Hapana bana. Bush wote wawili hawakuwa mbumbumbu. Reagan naye hakuwa hivyo licha ya liberal media kumfanya aonekane hivyo.

Na kamwe huwezi ku attach hiyo label ya umbumbumbu kwa Mitt Romney.
Ah, the republican book of fairy tales!
 
In the election of 1928, the Republican Party of Herbert Hoover promised voters "a chicken in every pot and a car in every backyard." (We all know how that turned out.) Now, Mitt Romney is pledging that "If I'm President" every college graduate will be guaranteed a job, Iran will have no nuclear weapons and the United States will dominate the 21st century. And when Romney isn't making fantastic promises about what he'll do when he gets to the White House, he's slandering the current occupant, Barack Obama.

Mitt Romney's Big Promises - and Bigger Lies | Crooks and Liars

Mazee hapo ndo penye utamu wenyewe... na ukweli ni kwamba ikitokea muujiza huyo mheshimiwa akaingia madarakani jueni WW3 haiepukiki kwa sababu kuwatuliza wamarekani mambo yakiharibika ni kushambulia mataifa ya nje!! sasa hatujui ni nani ataangukiwa!!
 
:roll:

Wewe siasa za marekani unazijua kweli? Wamarekani wanadanganywa sana tena. Republicans na Democrats wote ni sawa. Mimi nawaita Democans au Republicrats maana hawana tofauti. Msikilize huyu mama anavyoongea.
Kabisa kabisa mkuu huo ndio ukweli wenyewe japokuwa wengi wetu hatutaki kuusikia, kwa sababu kila jambo tunataka kuiga kwao.. lakini tunasahau ni haohao walioambiwa saddam ni hatari sana kwao atawashambulia na wakaogopa na kushabikia apigwe kana kwama Iraq na USA zipo jirani!!! Kweli hawadanganyiki... ndio maana nikasema "ikitokea miujiza akashinda..." ukitazama harakaharaka unaona Obama anashinda lakini je zile kura za MABWANA WAKUBWA ZITAMPITISHA??????? hapo ndipo tofauti ya ushindi wa BO na Mitt R. inapokosekana na kuleta mashaka. Obama anaweza kushinda majority Je hapo???

Ninakubaliana na wewe kuwa wote NI MVINYO MMOJA tofauti ni CHUPA!!
 
Hapana bana. Bush wote wawili hawakuwa mbumbumbu. Reagan naye hakuwa hivyo licha ya liberal media kumfanya aonekane hivyo.

Na kamwe huwezi ku attach hiyo label ya umbumbumbu kwa Mitt Romney.

...wee dogo "Nyani Romney"...umemuona kaka yako Mitt na ile ..."....don't care abt 47%"......lol
 
Mazee hapo ndo penye utamu wenyewe... na ukweli ni kwamba ikitokea muujiza huyo mheshimiwa akaingia madarakani jueni WW3 haiepukiki kwa sababu kuwatuliza wamarekani mambo yakiharibika ni kushambulia mataifa ya nje!! sasa hatujui ni nani ataangukiwa!!
Ataanza na nchi zinazomsaidia Iran kuuza mafuta!!
 
Hii hapa?

......Bwaaa hahahahahah.....haaa........halafu mwambie aache kukurupuka na kuanza kujitetea.........maana ndio anazidi kuharibu..........hivi kweli GoP walikosa mtu wa kumsimamisha kweli!!..........
 
Last edited by a moderator:
Romney mtupu sana kwenye masuala ya kimataifa mtu wa kuropoka.
 
Myth Romney doesn’t know what he is talking about and he never will, he is a coward. Leave it to people like Blackwell to try and make Romney’s mistakes and outright lies a conspiracy. Romney is clearly out of his league – his comments in Great Britain, in Israel, his comments about Russia, and again here.
 
Romney keeps vacillating between being nonsensical and being callous; neither is a very presidential quality
 
The big news out of the Republican National Convention was the lying. Paul Ryan went down in convention history as delivering one of the most lie-filled speeches ever. Even Sally Kohn of Fox Newswrote that "to anyone paying the slightest bit of attention to facts, Ryan's speech was an apparent attempt to set the world record for the greatest number of blatant lies and misrepresentations slipped into a single political speech." Then Mitt Romney's speech was heralded in USAToday as mostly "puffery and exaggeration."

Sophia A. McClennen: It's Arithmetic: The Romney Campaign Adds Up to Lies and Insults
 
Back
Top Bottom