ha ha ha....kweli uso wake kama mbuzi..........watu wengine wanapenda ku pick on people hasa je Romney angeshinda? watu wote waliokuwa wanatabiri on this election nao ni watabiri fake, i'm sure walifanya hivyo based on numbers na jinsi election map ilivyokuwa