Ah unanikumbusha mbali home tulikua na nyau mzuri sana aliitwa brown sasa kuna day tukamuona anagaragara sana kama vile anaumwa au antaka kutoka roho mama yangu alikua tafran...kumbe hakuwa anaumwa chochote alipata dume uko akatiwa mimba siku chache baadae tunamuona na tumbo haahahahaahhahaha tulicheka sana....
Alafu paka wa kufugwa bwana zao ni wale paka wa jalalani,kweli mapenzi hayachagui wa Oysterbay au wa Tandika.
Hahahahahaha nakwambia mipaka michafuuuu haishi kupiga misere home alafu alikua anazaaa kila siku mwisho nae akawa wa jalali...now tunae mwengine mwaka wa 3 sasa ni dume
Awww so sweet!!
We kwani huoni kama wamependeza?Halafu wewe una kazi yakunifatilia tu?mtazame vile!!Mawazo umeyapeleka mbaaali kweli kweli!!!
We kwani huoni kama wamependeza?Halafu wewe una kazi yakunifatilia tu?mtazame vile!!