RomboDeluxe - a new local joint in A'town | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RomboDeluxe - a new local joint in A'town

Discussion in 'Entertainment' started by ndegeulaya, Oct 29, 2011.

 1. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya hayaaa ....! kwa wale wazee wa ile mambo yetu ndani ya the A'town centre of Africa, mnakaribishwa sana katika 'ufunguzi' rasmi wa 'RomboDeluxe', a new local joint in the heart of the town, the place formally known as "Makutini grocery', know what i'm saying, meein?

  The place is located at 'Tanki la Maji' area, along Arusha-Moshi-Highway opposite 'Soweto surburb' kwa wajanja wa mjini, just 20 meters from Lenana Resort, bia ni za kumwaga, nyama choma za ukwenga, na watoto ni wakali ile mbayaa hahaa ..., kaazi kwelkwel!
   
 2. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,247
  Likes Received: 10,425
  Trophy Points: 280
  wahudumu wana kauli za biashara?hili ndio tatizo la arusha.
   
 3. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona eenh? uzuri au ubaya wa wahudumu wa A'town, wao kwa madai yao hudai wakogo ki 'biashara zao' zaidi, if you know what they mean ....
   
Loading...