EMT Platinum Member Joined Jan 13, 2010 Posts 14,477 Reaction score 15,356 Nov 6, 2012 #141 malema 1989 said: Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Rombo Click to expand... Majirani wake watakuwa Kenya na Tanganyika (kama Zanzibar nayo itajitenga).
malema 1989 said: Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Rombo Click to expand... Majirani wake watakuwa Kenya na Tanganyika (kama Zanzibar nayo itajitenga).
MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 620 Reaction score 282 Nov 6, 2012 #142 Mzee said: Hiyo bendera itasaidia kupata sukari...... Click to expand... Unafahamu maana ya bendera wewe?
Mzee said: Hiyo bendera itasaidia kupata sukari...... Click to expand... Unafahamu maana ya bendera wewe?
kwamwewe JF-Expert Member Joined Jul 15, 2010 Posts 1,908 Reaction score 608 Nov 6, 2012 #143 Lukansola said: Tuambie na wewe bwana zako ni kina nani? Maana naona unapenda sana habari za mabwana. Toa hoja bila kashfa gamba we. Click to expand... kwani nimepandisha bendera ya Kenya??? Kumbe mnatumikia Mabwana wenu Wajaluo na Wakikuyu nyinyi wahaini , wembe unakuja au kimbilieni kwa Wakikuyu mkawapikie mbege na Gongo
Lukansola said: Tuambie na wewe bwana zako ni kina nani? Maana naona unapenda sana habari za mabwana. Toa hoja bila kashfa gamba we. Click to expand... kwani nimepandisha bendera ya Kenya??? Kumbe mnatumikia Mabwana wenu Wajaluo na Wakikuyu nyinyi wahaini , wembe unakuja au kimbilieni kwa Wakikuyu mkawapikie mbege na Gongo
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 257 Nov 6, 2012 #144 Tuache ushabiki tujadili hoja!