Rombo: Freeman Mbowe apendekeza Mzee Shirima wa Precision Air atambuliwe Kitaifa

Akizungumza kwenye Ibada ya Mazishi ya Mwanzilishi wa Shirika la ndege la Precision Shirima , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameiomba Serikali ya Tanzania kutambua Mchango wa Mzee huyo katika maendeleo ya Taifa

Mbowe amesema serikali inaweza kumpa nishani au Tuzo yoyote ya Heshima ya ngazi ya kitaifa mzee huyo , ili iwe motivation kwa watu wengine kutokana na mambo mengi mazuri na ya maendeleo yaliyofanywa na Hayati Shirima katika enzi ya Uhai wake .

Toa Maoni yako .
Pamoja na kuanzisha pricision mbinu aliyotumia yeye na wanahisa wenzake kama mramba ni kuihujumu air tanzania ili ife watawale anga precision. Booking za air tanzania mara nyingi zilihujumiwa na kutumika kukata tiketi za precision.
Ushindani kuua cha umma alikuja kumaliza jpm na kulazimika kuyumba precision. Ma ceo wa precision wa kenya kazi kubwa ilkua kuhujumu air tanzania.
Hata hivyo mzee shirima anastahili sifa sana kwa uthubutu na precision ipo hadi leo. Ubepari hauna mjomba. Ukiwa na viongozi wa serikali corrupt mashirika ya umma yatakufa tu. Inahitaji calibre ya watu kama magufuli. Hata hii air tanzania mpya chini ya hawa viongozi wa kuuza bandari zetu itakufa tu au kuendeshwa kwa hasara kubwa.
 
Kwako kila kitu ni kwa wanasiasa. Majina ya mitaa, mashule, viwanja vya mpira, vya ndege. Yaani kila kitu. Hivi waTanzania wasio wanasiasa hawajawahi kulitendea taifa mambo mazuri? This mindset should be changed.
Mpaka inakera kila kona ni majina ya wanasiasa wastaafu na wanaotawala,uchawa umezidi sana.
 
Biashara na mali zilimnufaisha yeye binafsi na familia yake. Bora angesema hata mzee Nimrod Mkono. Maana nimesikia alijenga sana mashule na vituo vya afya kisha akavipa serikali

..baada ya Raisi Magufuli kufa, na Makamu wa Rais Samia Suluhu kuhitajika kwa haraka Dsm, Precision ndio waliotumika kumsafirisha Samia toka Tanga kumleta Dsm.

..mpaka hapo utaona kwamba Shirima na Precision waliaminika hata na vyombo vya serikali.

..Ngaleku Shirima pia alikuwa akichangia mambo mengi ya kijamii bila kujitangaza.

..Huyu ni mfano wa kuigwa kwa UTHUBUTU wake kuanzisha biashara ambayo Watanzania wengi wameipa kisogo, au wameiepuka.
 
Akizungumza kwenye Ibada ya Mazishi ya Mwanzilishi wa Shirika la ndege la Precision Shirima , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ameiomba Serikali ya Tanzania kutambua Mchango wa Mzee huyo katika maendeleo ya Taifa

Mbowe amesema serikali inaweza kumpa nishani au Tuzo yoyote ya Heshima ya ngazi ya kitaifa mzee huyo , ili iwe motivation kwa watu wengine kutokana na mambo mengi mazuri na ya maendeleo yaliyofanywa na Hayati Shirima katika enzi ya Uhai wake .

Toa Maoni yako .
Kwani Chadema na Wachaga hawana hizo tuzo hadi waiambie Serikali!!!!
 
Pamoja na kuanzisha pricision mbinu aliyotumia yeye na wanahisa wenzake kama mramba ni kuihujumu air tanzania ili ife watawale anga precision. Booking za air tanzania mara nyingi zilihujumiwa na kutumika kukata tiketi za precision.
Ushindani kuua cha umma alikuja kumaliza jpm na kulazimika kuyumba precision. Ma ceo wa precision wa kenya kazi kubwa ilkua kuhujumu air tanzania.
Hata hivyo mzee shirima anastahili sifa sana kwa uthubutu na precision ipo hadi leo. Ubepari hauna mjomba. Ukiwa na viongozi wa serikali corrupt mashirika ya umma yatakufa tu. Inahitaji calibre ya watu kama magufuli. Hata hii air tanzania mpya chini ya hawa viongozi wa kuuza bandari zetu itakufa tu au kuendeshwa kwa hasara kubwa.
Hoja yako ni mpya , kwamba ATC Iliuliwa na precision !
 
Kwani fala huwa hajibu ?
Mkuu hiyo tuzo sijui tozo itamsaidia nini mwanae Vicent Michael Shirima kuendeleza biashara ya babake!

Kumbuka huyo Marehemu ni mfanyabiashara kama mfanyabiashara mwingine yoyote wa huko Rombo mwenye Duka kama Mangi wengine walivyo popote kwenye biashara zao. Ushamba wako ni kwa kuwa yeye anaendesha shirika la ndege ambapo mwendazake aliwapumbaza na kuona ndege kuwa ndio kila kitu Fala wewe!
 
ZURIIII! WANAPIGWA VITA NA NANI MPUUZI WEWE MBONA WAPO KILA MAHALI NA TUNAISHI NAO VIZURI TUU KAMA MAKABILA MENGINE. PIMBI WEWE USITULETEE MANENO YA UKABILA KAMA KENYA NA RWANDA. KENGE WEWE! STUPIDY
Unawashwa??? Nauliza unawashwa??? Nakuuliza tena unawashwa? Acha kuparamia watu pun ga wewe! Akili yako yenyewe ndogo unaropoka tu bila kuelewa kilichoandikwa! Acha bangi huziwezi
 
Mkuu hiyo tuzo sijui tozo itamsaidia nini mwanae Vicent Michael Shirima kuendeleza biashara ya babake!

Kumbuka huyo Marehemu ni mfanyabiashara kama mfanyabiashara mwingine yoyote wa huko Rombo mwenye Duka kama Mangi wengine walivyo popote kwenye biashara zao. Ushamba wako ni kwa kuwa yeye anaendesha shirika la ndege ambapo mwendazake aliwapumbaza na kuona ndege kuwa ndio kila kitu Fala wewe!
Hata sijui unalia nini yaani !
 
Back
Top Bottom