Romantic

Mi hapo sina comment ni kijifunza tuu maana kila leo ni kukorofishana nae hasa akiwa mbali nami.Yaani ni isue anahisi kama nakunguta nje kumbe wapi niko bise na mikazi ya mabepali.
Naendelea kugain naweza stabilize penzi langu nae
 
mheshiwa, nami naomba niongezee hapo. Hivi kwa nini wewe umfurahishe yeye. Kwa nini ni vigumu mke wako kukuambia nakuhitaji sasa.

Kwa uzoefu wangu mke wangu siku akinishika sehemu sehemu hata kwa mapenzi hata ningechoka vipi nakua active ile mbaya.

Nadhani wote wawili kila mmoja anamuhitaji mwenziwe kwa hiyopale mwngine anapoelemewa na kazi kwa mfano mwingine ashike zamu yake ku-mrom mwingine , nasema kwamba siyo lazima mwanamke achokozwe kewenye ndoa hata mwanaume vi vizuri kuchokoza. Mimi binafsi mtu akilalamika namwona ni mtu asiye na mikakati na ni hatari sana kama wengine walivyosema
 
Kumbe kuna TEMPLATE ya kuwa romantic?
Angalia wengine msijepeleka maua nyumbani kumbe wenzi wenu ni wakereketwa wa mazingira, nyama choma kwa watetezi wa wanyama, sometimes these things are subjective, inategemea na hobbies za mpenzi wako.
Why can't you be NATURAL?
 
Mkuu hata kama unakuwa busy sana na kazi angalau unaporudi nyumbani jioni busus moja tu na hug motomoto linatosha.Make that kiss wetty,wild and hotty.Siyo unambusu tuu hapana,you make it come from your inner circle and deepest part of your heart.
On weekends si mbaya Jmosi mkaspend the day at home playing under the bedsheets then jioni mnaenda hata dinner na kama mfuko hauruhusu prepare something at home.
On Sunday you can go out for a picnic or spend time together.
hata ukiwa kazini mpigie simu angalau mara moja au mbili kumuonyesha yupo kwenye mawazo yako.
Even the way you call her name should be exceptional and the way you touch her hands.
These small things are the easiest form to express deep love .
E
 
angalau asilimia 20 ya wanaume wa bongo wangekuwa ivi, mbona tungefaidi...
 
Kwa kweli Kevo hapo umenigusa ile mbaya na point yako, you have shown a good example. Keep it up.
 
Mimi ni mmoja wao ndugu yangu!

Ingekuwa vizuri tumpate mkeo au hani wako ndo atwambie manake mhhhh kuamini inakuwa ngumu coz malalamiko siku hizi yamekuwa mengi sana hata toka kwa wale baliopata bahati mbaya wakaolewa na mibaba yenye VIJI-CENT.
 
Naamini wako wanaume wengi tu wenye kuwapenda wake/wapenzi wao na hawasiti kuonyesha hilo. Lakini ikumbukwe hilo linapaswa liwe pande zote, ukitoa na wewe upokee. Ikiendelea hivyo kwa muda, huo utageuka kuwa utamaduni wenu.

Mimi bwana nyumbani kwangu ni raha kweli. Tulianza kama utani, sasa imekuwa mila na desturi yetu. Hata tununiane namna gani kuna mambo lazima yatafanyika, mfano: salamu asubuhi, kuaga kwenda kazini na jioni tukirudi.Tutapigiana simu japo haina majonjo kama tukiwa vizuri, lakini tumekuwa tukijitahidi kumaintain hilo kuogopea likiponyoka huenda ikawa taabu kulirudisha. Na kwa hilo nampa credit zote spouse wangu. Ameweza kumaintain hilo kwa muda wote wa ndoa yetu.
 
Ingekuwa vizuri tumpate mkeo au hani wako ndo atwambie manake mhhhh kuamini inakuwa ngumu coz malalamiko siku hizi yamekuwa mengi sana hata toka kwa wale baliopata bahati mbaya wakaolewa na mibaba yenye VIJI-CENT.

Wa kwangu amepata bahati ya kupata kijana anayejua anahokitafuta!
 
[I said:
Mrembo;320105]angalau asilimia 20 ya wanaume wa bongo wangekuwa ivi, mbona tungefaidi...[/[/I]QUOTE]

[I said:
Lorain;320109]Kwa kweli Kevo hapo umenigusa ile mbaya na point yako, you have shown a good example. Keep it up[/I].

Mrembo/Lorain...

Be careful for what you wishing, you might get it....ngoja niishie hapo.

MJ
 
Bila vijimambo vya unyumba ni ngumu. Sasa kuchoka gani huko kaka yangu? Mwishowe mkeo atafikiri kuna sehemu unapitia. Jitahidi angalau kila siku ya pili. Lazima mkeo naye akuhamasishe sababu unakuwa umechoka. Now dinner, sijui nakupenda, hela , shopping haiwezi kureplace vijimambo.
 
Weekend moja moja unampa huduma ya malkia,unaamka asubuhi na kutayarisha kifungua kinywa,kama unajua kupika unampikia chakula cha mchana au usiku na kumkalisha kwenye kochi[miguu yake unamwekea mto kwenye stuli]na kumnawisha na kumletea kila kitu yeye asiamke pale.

Wanaume wa wapi hawa unaowapa ushauri huu?? Just curious
 
I hope Wanaharakati wote.... nikiendelea sana labda niseme Waafrika wa Kitanzania teh teh teh...au vipi hutaki???

Sitaki, naona hapa kuna kutwanga maji kwenye gunia!!! mi yangu macho na masikio ... we have a looooong way to go that's all I can say.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom