Spear
JF-Expert Member
- Jun 21, 2008
- 507
- 28
katika mawazo yako ni watu wangapi ndani ya TANZANIA hii wenye uwezo wakufanya hayo ?na kwanini tusijaribu mambo ambayo yamo katikamazingira yetu katika kufurahiya mambo kama hayo baada ya kufuata wazungu ambao wametuwacha miaka elfu ishirini nyuma tuangalie hali ya kipato cha waliowengi maisha tunayoishi tungeweza kuja na marifa kama vile kusema zikifika siku kama hizo muhimu msheherekee ndani ya famili kwa chakula kizuri kununuliana zawadi kadri ya uwezo wenu unavyokupeni lakini leo cha kusikitisha unakuta watu wengi hapa Tz wanataka kufanya yale ambayo wazungu wanafanya kuna asari zake mbele tuendapo leo unasikia Tz nao wanasheherekea halowini mapya hayo sasa