Shashi nalley
Senior Member
- Nov 5, 2016
- 136
- 111
Hii yaweza tokea,
kama anahudumiwa kila kitu na mwanamke je?This is love....
Siyo kila kitu mfanyiwe nyie tu
(Ila jamaa nae fala sana yaani anajifanya anashanga kama kidemu)
Wewe si ulijinadi mkeo mkuu.Hivi scorpio me umepotelea wapi? I mic u! Njoo na hu
Bae wako unaweza kumvalisha hivyo?Si wanapenda tusaidiane majukumu
Namaanisha huku jukwaani kaka. Sijamuona kabisa.Wewe si ulijinadi mkeo mkuu.
Kwa hiyo mkeo kapotea?, au wajanja wameshafanya yao[emoji23] [emoji23]
Vunga basiiiBae wako unaweza kumvalisha hivyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Namaanisha huku jukwaani kaka. Sijamuona kabisa.
Ha?Vunga basiii
Nikiona anachelewesha mambo mie namvalisha
Usiseme jamaniiHa?
Naenda kukusemea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]