romantic hugging styles

romantic hugging styles

Yaani kama mnakutana public area lets say in a restaurant, labda wewe ndo umewahi kufika ile akitokea tuu mlangoni unanyanyuka kisha unatimua mbio kama umemuona simba kisha unamrukia na kumkumbatia kwa nguvuuuu kisha unampiga vichwa vikali vitatu kichani kwake kwa nguvu kiasi apige kelele, hutakiwi kuona aibu wala kujali hadhira inayowazunguka au kuwaangalia kwa wakati huo.
Hapo atakuwa more exited na wewe na hatakuacha hadi muoane maana atajua uko tayari kumpigania hadharani hata iweje na hapo utakuwa ushafanya romantic hug. Inapendeza mkiwa public place coz mkikutania room au private area ukifanya hivyo matokeo yake yatakuwa mabaya na mnaweza kuachana.
All the best mwaya na kidate.
nimecheka mpaka mbavu zimeniuma jamani, kweli nimeamini jf is never boring
 
Back
Top Bottom