romantic hugging styles

romantic hugging styles

Ila jamaniii...how old are you kwa kweli?

Ushauri mwingine ni vizuri utolewe kwa kuzingatia umri wa mwombaji.

In other news: sakapal please..go home, you are drunk.

images
 
Last edited by a moderator:
Ila jamaniii...how old are you kwa kweli?

Ushauri mwingine ni vizuri utolewe kwa kuzingatia umri wa mwombaji.

In other news: sakapal please..go home, you are drunk.

images

We Mentor weweeee unatoa habari za thread moja unazipeleka thread nyingineeee weeeweeee jiangalieeee!!!
Haya utapatiwa romantic hug sasa hivi we jifanye mjanja. We jifanye daktari muungwana angalia yasikutokee puani shaurilo.
 
Wewe ndo utanipa??!
 
Nimecheka balaa kweli burudani.umbululu wa mwezako bi kicheko kwako
 
hahaha yani nilivyocheka mpk hoi sakapal
bt ukiondoa xtremenes ulivyoielezea imekaa kiromantic romantic, badala ya kumpiga vichwa mpige makiss,na usione aibu kwenye macho ya watu,na akifika muwahi kwa shangwe na umhug
 
nakili hii hapa chini...lakini ni vyema wote wawili wewe na mwenzi wako msiwe na vitambi, coz a hug will mean nothing but a collision

couple-lovers-romantic-hug-kiss.jpg
 
Wewe ndo utanipa??!

Hapana mie nikikupa hiyo romantic hug utalewa bure wakati wewe ni m-missionary, utapewa hilo hug na (binti mariam)
Week end njema best.
Usalimie mto wako unaoukumbatia usiku kucha.
 
He he he, haya mambo yanaendana na makuzi

Mie nikimpiga mtu mabusu hadharani lazima nimuume tu, I can't hata kwa greda.
Hata kutembea tu tumeshikana mikono marfuku, lazima tuachane walau mita 3, mie mbele yeye nyuma.

hahaha yani nilivyocheka mpk hoi sakapal
bt ukiondoa xtremenes ulivyoielezea imekaa kiromantic romantic, badala ya kumpiga vichwa mpige makiss,na usione aibu kwenye macho ya watu,na akifika muwahi kwa shangwe na umhug
 
He he he, haya mambo yanaendana na makuzi

Mie nikimpiga mtu mabusu hadharani lazima nimuume tu, I can't hata kwa greda.
Hata kutembea tu tumeshikana mikono marfuku, lazima tuachane walau mita 3, mie mbele yeye nyuma.

mpnz wako ana kaz baskama ana mambo ya kidhungu,si atahis labda unamuona kafanana na dr remmy ndio mana hutak kuongozana nae?
 
you never know ni yale mambo ya maji.......... jihadhari
 
Wana MMU
few days to come ntakutana na mpenzi wangu ambaye toka tuwe kwenye uhusiano after a long friendship hatujakutana uso kwa uso!
Sasa kasema anataka tukikutana nimhug romantically! Nikamuuliza hiyo inakuwa vipi? Akaniambia hiyo ni home work yangu!

Sasa wadau naomba mnielekeze how to do this kind of hugging or any other hugging style that seems to be good for lovers!
Thanks!

akifika tu wewe mpe denda la hatari ndio anachokitaka hicho..
 
Yaani kama mnakutana public area lets say in a restaurant, labda wewe ndo umewahi kufika ile akitokea tuu mlangoni unanyanyuka kisha unatimua mbio kama umemuona simba kisha unamrukia na kumkumbatia kwa nguvuuuu kisha unampiga vichwa vikali vitatu kichani kwake kwa nguvu kiasi apige kelele, hutakiwi kuona aibu wala kujali hadhira inayowazunguka au kuwaangalia kwa wakati huo.
Hapo atakuwa more exited na wewe na hatakuacha hadi muoane maana atajua uko tayari kumpigania hadharani hata iweje na hapo utakuwa ushafanya romantic hug. Inapendeza mkiwa public place coz mkikutania room au private area ukifanya hivyo matokeo yake yatakuwa mabaya na mnaweza kuachana.
All the best mwaya na kidate.
nimecheka san na hii style mpiya ! Tunashukuru kwa ugunduzi ! Ngoja tusubirie majibu kutoka kwa kijana
 
nakili hii hapa chini...lakini ni vyema wote wawili wewe na mwenzi wako msiwe na vitambi, coz a hug will mean nothing but a collision

couple-lovers-romantic-hug-kiss.jpg
LOVE THIS....
NGOJA NIANZE MAZOEZI maana na mwili huu ataweza kunihold hivyo?
 
Yaani kama mnakutana public area lets say in a restaurant, labda wewe ndo umewahi kufika ile akitokea tuu mlangoni unanyanyuka kisha unatimua mbio kama umemuona simba kisha unamrukia na kumkumbatia kwa nguvuuuu kisha unampiga vichwa vikali vitatu kichani kwake kwa nguvu kiasi apige kelele, hutakiwi kuona aibu wala kujali hadhira inayowazunguka au kuwaangalia kwa wakati huo.
Hapo atakuwa more exited na wewe na hatakuacha hadi muoane maana atajua uko tayari kumpigania hadharani hata iweje na hapo utakuwa ushafanya romantic hug. Inapendeza mkiwa public place coz mkikutania room au private area ukifanya hivyo matokeo yake yatakuwa mabaya na mnaweza kuachana.
All the best mwaya na kidate.

Mkuu sakapal umefanya nimecheka sana!
 
What so new unachotafuta katika kumhugg mtu? Wengine watapima uelewa wako wa mambo kwamba unaelewa kiasi gani. Na ndio maana unapewa ushauri wa kumpiga vichwa.
 
Back
Top Bottom