romantic hugging styles

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Wana MMU
few days to come ntakutana na mpenzi wangu ambaye toka tuwe kwenye uhusiano after a long friendship hatujakutana uso kwa uso!
Sasa kasema anataka tukikutana nimhug romantically! Nikamuuliza hiyo inakuwa vipi? Akaniambia hiyo ni home work yangu!

Sasa wadau naomba mnielekeze how to do this kind of hugging or any other hugging style that seems to be good for lovers!
Thanks!
 

Yaani kama mnakutana public area lets say in a restaurant, labda wewe ndo umewahi kufika ile akitokea tuu mlangoni unanyanyuka kisha unatimua mbio kama umemuona simba kisha unamrukia na kumkumbatia kwa nguvuuuu kisha unampiga vichwa vikali vitatu kichani kwake kwa nguvu kiasi apige kelele, hutakiwi kuona aibu wala kujali hadhira inayowazunguka au kuwaangalia kwa wakati huo.
Hapo atakuwa more exited na wewe na hatakuacha hadi muoane maana atajua uko tayari kumpigania hadharani hata iweje na hapo utakuwa ushafanya romantic hug. Inapendeza mkiwa public place coz mkikutania room au private area ukifanya hivyo matokeo yake yatakuwa mabaya na mnaweza kuachana.
All the best mwaya na kidate.
 

nimesoma kama mara nne hivi ila sijaelewa chochote!
 

Teh teh kwi !

Yaani kama Mgaya wa TUCTA na JK wakati
ule akili za kuambiwa changanya na zako.

Gong'ota na Mbayuwayu !
Agggrrrr .
 
sakapal umeharibu thread yangu!

wadau naombeni muachane na sakapal nisaidieni kwenye ninachohitaji!
 
Last edited by a moderator:
Utafiti wangu unaonyesha kuwa watu wanaoanza kupendana mpaka kufikia kuwa marafiki kabla ya kuonana uso kwa uso kwanza huwa hawafiki mbali katika uhusiano wao. Maana siku mnaonana anaweza asiwe vile unavyotegemea kabisa.

Romantic Hug kwa kawaida inafanyika chumbani na sio hadharani tena kwa wapenzi(Wanandoa!) wanaofahamiana kwa karibu sana. Utamaduni wa kimagharibi ndio unatoa fursa ya kufanya huo 'ujinga' hadharani.

Huyo rafiki yako anachotaka ni kwenda kufanya naye ngono ila anajaribu kuzunguka tu.

*'Romantic Hug' ni kukumbatiana kimapenzi kunakoleta msisimko wa kutaka kufanya mapenzi na huwa unakwenda pamoja na nakshi zingine za kimapenzi kama kupapasa, kubusuana, kutekenyana nk.
 
Utakapomuaona,nyanyuka mfate,mkumbatie mkiss kwenye shavu huku umekishika kiuno chake,au kama utamkiss lips,shika shingo yake,thats all atafurahi
 
mwalimu saudali msaada wako unahitajika hapa.
 
Last edited by a moderator:
nimesoma kama mara nne hivi ila sijaelewa chochote!

Kwasababu hujaelewa maelezo inatakiwa ufanye praktizi kwanza kabla ya tukio lenyewe ili uelewe vizuri. Uende mahali popote pale pa public yaweza kuwa mgahawa wowote muda wa lunch ndo utawapata watu wengio wanaingia migahawani huku wakiwa na nyuso za furaha.
Angalia yule anayeingia pekeyake, usimkimbilie mtu ambae wako group au wako wawili. Kisha fanya kwa vitendo kama nilivyoandika hapo juu na utakuwa ushaelewa na hapo waweza subiria date yako ya kuhug romatically.
Kumbuka tu hutakiwi kujali hadhira inayokuzunguka na kukuangalia ndo uromantiki wenyewe huo.
All the best mwaya na kidate.
 
wewe ni kama unataka kucomplicate mambo....,
take it easy and dont try to complicate things.....

mkiss kawaida kwenye shavu,ktk lips,
nimekumiss & am glad ur back waweza mwambia...
mengine mtaenda kumalizana chumbani............,
 

Ili kumuepusha na vishawishi vya kungoneka na mtu ambaye hata hamjapima ngoma day one asikutane naye private area akutane nae hadharani tena kwenye mikusanyiko ya watu wengi mgahawani ni pazuri hata kama hamna wateja wahudumu watakuwepo so akifanya njia kama niliyomuelekeza huyo date wake mawazo yote ya kungoneka nae yatatoweka na kama alikuwa anataka kumuoa atamuoa fasta akijua huyu mtu sio wa kuchezea hataki matani akikimbia ujue alitaka amngonoke kisha amuache vilevile, asipofuata ushauri wangu shauri lake mjini hapa watu wanalizwa na wanaachwa solemba.
Tena nimesahau kuongezea hili, wakati anafanya yote hayo anatakiwa macho yawe kodo yaani ayatoe yote kama fundi saa anatafuta spare ya saa iliyodondoka mchangani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…