Roman Abramovich: Utajiri wa Damu, Risasi na Umafia

sawa Bwana Senior Oligach.

Leta info.
 
Nimekuelewa, nadhani aliyesababisha yote haya ni mtu aliyekuwa akipiga kelele kwamba story ndo imeisha so tukakojoe tukalale na wewe ukumuacha tu.
 
Sawa mkuu uniwie radhi Kam nitakuwa nimekukwaza kwenye comment yangu japo hoja yangu ilikuwa imelalia kwenye dhamira kwamba mtu analeta stori anaishia kati then anapotea mazima ingawaje na yenyewe si dhambi kwa sababu tunaishi kwa ajili ya kutafuta kipato by any means unayoipata.
Lakini pia natambua upendo wako wa kipekee kutuletea story ya namna hii for free wakati ulikuwa na uwezo wa kuiuza na maisha yakasonga mbele.

Nitajitahidi kukusuport mkuu kwenye namba yako japo buku tano kwa mwezi si pa kitoto ukiipigia bajeti. Nishauri kama unaweza kuishusha kidogo uongeze mzunguko mkuu.
 
Lakini mkuu hii ya whatsapp imekaajekaaje? Haiwezi ikawa unalipa buku tano (kama hakuna mabadiliko) kwa mwezi ukaambulia stori moja au yenyewe isiishe?
 
Hakuna shaka mkuu,

Kuna makala mbili tu ambazo ziliishia kati. The Richest Man na Ujasusi Sebuleni kwetu, nilitoa maelezo kwa nini sikuendelea nazo.


Nashukuru kwa kuniunga mkono.
 
Hakuna shaka mkuu,

Kuna makala mbili tu ambazo ziliishia kati. The Richest Man na Ujasusi Sebuleni kwetu, nilitoa maelezo kwa nini sikuendelea nazo.


Nashukuru kwa kuniunga mkono.
Gharama zilipungua au zilibaki palepale?
 
Hakuna story ambayo haiishi kwenye group. Kule premium so lazima upate vitu Premium.

Mfano hii ya Abramovich kule ishaisha.
Ujasusi Sebuleni kwetu ishaisha.
The Richest Man tuko Episode 9
Leo hii tunamalizia makala inayohusu Utata wa Watoto wa Mtawala wa Dubai aliowafunga ndani ya jela kwenye kasri la Zabeel. (Undani wa kwanini mkewe ametoroka miezi miwili iliyopita)
Vipeoeo Weusi season 2 tuko Episode 71
Pia tuna Simulizi mpya inaitwa Shah Tazamon iko sehemu ya Tano.

Hii ndio shughuli yangu mkuu. Naandika, nalala, naamka, naandika tena. Kila siku, mwaka mzima, miaka yote.

And elfu tano ni ndogo sana chief, kuanzia tarehe 1 January nitaongeza kiduchu.
Lakini mkuu hii ya whatsapp imekaajekaaje? Haiwezi ikawa unalipa buku tano (kama hakuna mabadiliko) kwa mwezi ukaambulia stori moja au yenyewe isiishe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…