Roman Abramovich, Risiti ya chakula cha jioni.

Percentagewise kulinganisha kipato chake na matumizi bado jamaa anaspend less kuliko ndugu zetu wabongo.... utakupa mtu anaspend kwa mwezi 100% ya kipato chake na anakopa another 200% kwahiyo total 300% ya kipato chake. No wonder we are poor.
 
Zingekuwa ni Shs hata Mchungaji hutumia hivyo 47221 Tsh
 
Pia hatujui huenda hiyo ni business dinner kwahiyo ataclaim back kwenye tax returns zake.... (Its good kama ukiwa inside this game everything works in your favour)
 
Nimeshindwa kuikonnekt risit na Romana Abramovich. May be jamaa alikuwa na watu wengi!
 
hapo vitu vilivyopelekea bei ni hizo wine La tache romanee; Chateau Petrus na Crystal Rose Magnum when it comes to wines the most expensive is CHATEAU LAFITTE 1787 $160,000
 
Zingekuwa ni Shs hata Mchungaji hutumia hivyo 47221 Tsh

Roughly it seem they were two people on the game, sasa hiyo $47,221 convernt into TShs halafu utajuwa kama mchungaji style. Even with dollar it must have been damn expensive one, so obvious the drinks.
 
Mhhh!!! May be alikuwa na watu zaidi ya watu watano
 
Kigezo gani kimetumika kusema ni stakabadhi ya Abrahamaovic na sio sio billgates, Clinton au Kikwete ?
 
ukweli ni huu hapa;

Acha ale maisha...hatoishi milele na mapesa atayaacha so atumie kadri ya uwezo wake!Ila ukifikiria huo ni mshahara wa walimu 2-3 kwanzia wanaanza kazi mpaka wanastaafu!!
 
Percentagewise kulinganisha kipato chake na matumizi bado jamaa anaspend less kuliko ndugu zetu wabongo.... utakupa mtu anaspend kwa mwezi 100% ya kipato chake na anakopa another 200% kwahiyo total 300% ya kipato chake. No wonder we are poor.

Umenena.
 
Amewapungizia jamaa ili circulation ya hela iendelee. watu wanapata ajira...............
 
Roughly it seem they were two people on the game, sasa hiyo $47,221 convernt into TShs halafu utajuwa kama mchungaji style. Even with dollar it must have been damn expensive one, so obvious the drinks.

Risiti inasema 6 customers (look at the bottom)
 
hapo vitu vilivyopelekea bei ni hizo wine La tache romanee; Chateau Petrus na Crystal Rose Magnum when it comes to wines the most expensive is CHATEAU LAFITTE 1787 $160,000
View attachment 19525

Hivi ukishakunywa hii kuna toilet maalum kwa ajili ya kujisaidia haja ndogo? Manake i can imegine hata mkojo wako utakua ni wa gharama sana...!
 
Roughly it seem they were two people on the game, sasa hiyo $47,221 convernt into TShs halafu utajuwa kama mchungaji style. Even with dollar it must have been damn expensive one, so obvious the drinks.

Risiti inasema 6 customers (look at the bottom)

na mimi naona alikuwa na watu wake na gharama kwake
angalia post ya 10 nimepost jibu la ukweli habari inasema alikuwa anawatu watano na total after tips ilikuwa 52,000 usd; lakini baadaye Jamaa mwenyewe amebisha kwamba hizo ni propaganda za restaurant na atafanya investigation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…