Roma Wa Jana ndiye yule aliyewahi kuimba zile nyimbo tena kwa ujasiri?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Hadi Leo nimeshindwa kupata taswira kama yule Wa Jana aliyekuwa anaongea na waandishi Wa habari ndiye yule Roma mkatoriki aliyewika kwa vibao vilivyoizungumzia serikali ya kikwete na Magufuli bila woga wala kuficha?

Kama ndiye yuleyule basi siamini kama atakuja kuiimba serikali tena maana si kwa kunywea namna ile. Nachelea kuamini kama yule alikuwa yule Roma Mkatoriki halisi

Pongeza kwako Rais na mwenyekiti wangu, uliahidi utainyosha nchi na kweli dalili zimeanza kuonekana
 
Back
Top Bottom