Roma Mkatoliki: Viongozi ambao hawakukemea maovu kipindi cha mwendazake sio wa kuwaamini

Kwa herufi kubwa kabisa 'WANASIASA WOTE NI OPPOTUNISTICS' WOTE WAPO KWAAJILI YA MASLAHI BINAFSI,AWE UPINZANI AU CHAMA TAWALA HAKUNA ANAYEPAMBANIA MASLAHI YAKO WEWE
Ushakata tamaa, sasa kwenye jukwaa hili unatafuta nini.? Si uende MMU au Nyumba na makazi kule?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom