anaitwa Ibrahim Mussa,anatokea Tanga...nasikia yupo pale Ud,CoICT...anapiga computer science,hapo sijui ni dip au jiwe,mwenye kufahamu atujuze!
anajua sana! Ni zaidi ya msanii, ni mwanaharakati!
jina na avatar yako vimefanana na vilivyo ubongoni mwakompiga kelele tu uyo,usimfananishe na fid q
Nashukuru kwa taarifa mkuu,..i think he dserve thtanaitwa Ibrahim Mussa,anatokea Tanga...nasikia yupo pale Ud,CoICT...anapiga computer science,hapo sijui ni dip au jiwe,mwenye kufahamu atujuze!
Asante kwa burudani bwana Lokisa, naomba msinichoke na mswali, mbona jamaa hapa anaonekana kavaa gwanda? imekaaje hii?ROMA a k a MKATOLIKI akirusha mashabiki katika Tamasha la EPIQ NATION COCO BEACH EID MOSI 2011 MO BLOG - YouTuben
likuwa simjui kweli anamwaga data imebidi nimtafute you tube
BONGO FLAVA -ROMA -MECHI ZA UGENINI - YouTube
Anyway kuna kingine kinachonipa walakini hapa,..kuna tokea malalamiko siku za usoni kuhusu hawa clouds kuwatenda ndivyo sivyo wasanii wengi kwa kuwatumia katika matamasha yanayowaingizia millions of shs..kisha kuwatosa pasipo malipo sahihi yanayolingana na kazi yao...
1.Mara kadhaa sijaona clouds wakimsogelea,ni je wanamuogopa kutokana na msimamo wake?
2.Mara nyingi tunawasikia watangazaji wa clouds waliowasimulizi wa muziki wa hiphop wakiziongelea nyimbo zinazohit za hiphop,.mbona hawaisimulii hiphop iliyotukuka kutoka kwa huyu kijana?
Asante kwa burudani bwana Lokisa, naomba msinichoke na mswali, mbona jamaa hapa anaonekana kavaa gwanda? imekaaje hii?
Nashukuru kwa taarifa mkuu,..i think he dserve tht
ila kuna kamstari kake katka kibao kinachoitwa mathematiks kanasema mwambieni sirudishi kadi ya chama kama nakaya, hii haileti picha flani kuonyesha yupo upande flani au ni just msimamo?? halafu pia hapo aliposema mwambieni anamaanisha nani vile?
mpiga kelele tu uyo,usimfananishe na fid q
jina na avatar yako vimefanana na vilivyo ubongoni mwako