Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,027
- 20,411
"Kufuatia mpango wa dunia dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi na kulinda mazingira, hii ni hatua nyingine muhimu ambayo itasaidia kufanya 'jet zero' kuwa ukweli na kuunga mkono matamanio yetu ya kuleta mafanikio ya teknolojia ambayo jamii inahitaji kupunguza uchafuzi wa anga, ardhi na bahari”
“Serikali inajivunia kuunga mkono miradi kama hii ili kuongeza uwekezaji wa kibinafsi unaohitajika kufungua ndege safi ambazo zitaruhusu Watu kuruka kama wanavyofanya sasa lakini kwa njia ambayo inapunguza uchafuzi" amesema
Katibu wa biashara wa Uingereza Kwasi Kwarteng.
