A u sure bro???Mbona lakawaida Sana mkuu, naombeni sifa zake please!
Tatizo ni hilo tu wabongo hamjui kushauri jinsi ya kupata hela ila ni mabingwa wa kushauri mtu akishapata hela yake jinsi ya kutumia. Hivi unajua watu wanatafuta hela ili iweje?Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
Wewe unazo?Kiki ndiyo nini? Kama hauna millioni 900 kaa pembeni
Kama lengo lako ulitaka tu Google hata hii habari itoe hapa ili tuka Google hukoGoogle si upo online
humfundishi jinsi ya kuzitafuta,unamfundisha jinsi ya kuzitumia............Ina maana huoni miradi yake mingine inayomwingizia fedha zaidi nje ya muziki?.....Unajua maana ya ''welfare''?..umeshawahi kusikiliza mahojiano yake uone mtazamo wake/maono yake miaka ishirini mbele muziki utakapomtupa,amejiandaaje?...Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .