Tetesi: Rolls Royce la Diamond liko njiani kutua Dar punde

instagram

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,091
4,715
The Rolls Royce musician from east africa aka diamond hatimaye amekamilisha ndoto zake za siku nyingi baada ya order yake ya gari aina ya rolls royce kukamilia na gari hilo liko njiani kuwasili mikononi mwake punde... Gari hilo aina ya rolls royce Drop Head coupe 6.7 litre V-12 ambalo limeagizwa kupitia kampuni ya Newline Luxury Motors ambalo order yake ina waiting time ya six months kuanzia unapolipia hadi litengenezwe hadi likufikie mteja..
1480591590980.png
1480591624212.png
1480591644842.png
1480591652243.png
1480591658952.png
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
 
Tatizo ni hilo tu wabongo hamjui kushauri jinsi ya kupata hela ila ni mabingwa wa kushauri mtu akishapata hela yake jinsi ya kutumia. Hivi unajua watu wanatafuta hela ili iweje?
 
Big mistake . ..tungetakiwa kujifunza kutoka kwa waamerika weusi wanavyochanganyikiwa na vitu kama hivi . .gari ni liability . ..heri angejinunulia apartments zake masaki au oysterby akapangisha kwa ajili ya kizazi chake pia kuliko kumtajirisha rolls Royse . .anyway kila mtu anamtazamo tofauti wa maisha . .
humfundishi jinsi ya kuzitafuta,unamfundisha jinsi ya kuzitumia............Ina maana huoni miradi yake mingine inayomwingizia fedha zaidi nje ya muziki?.....Unajua maana ya ''welfare''?..umeshawahi kusikiliza mahojiano yake uone mtazamo wake/maono yake miaka ishirini mbele muziki utakapomtupa,amejiandaaje?...
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom