Roles model kama Hobbies, Nyamazeni tu

Roles model kama Hobbies, Nyamazeni tu

haha mie nimemkumbukia sekeseke la katiba mpya alivyogeukwa lakin yet hakurud nyuma.. kuvuta nini uliacha sigara .. ugoro... bangi

Ugoro sijawai kula ila vingine kwa kweli nimeacha.... msuba na fegi
 
This math test can predict your role model...
Try it without looking at the Answer!


Pick your Favourite No. from 1-9
Then Use that no.
Multiply by 3.
Add 3
Multiply with 3
You'll get a 2 digit number or a three digit number.
Add the digit



Scroll down...................




















Now with that No.
See Who Your ROLE MODEL is
from the List below :



1. Einstein
2. Nelson Mandela
3. Jacob Zuma
4. Tom Cruise
5. Bill Gates
6. Gandhi
7. Brad Pitt
8. Hitler
9. Nyani Ngabu
10. Barack Obama

Khaaaa... Huyo rolmodo nliyempata nimeishia kuvunjika tu mbavu lol
 
My role model wangu ni yule mwansheria mkuu wa serikali a.k.a tumbili
 
nitamfata she is the kind of mother I want to become when and if I ever have children.

Ni kweli..na pia number ya watoto iwe kama yake ili ujipime vizuri... hahaha. Maana wadada wengi sikuhizi ni watoto wawili tu.
 
Hivi tunavosema hobbies zetu au kuwataja watu mashuhuri au wazazi kuwa roles model wetu tunamaanisha kweli? Ni ajabu sana unakuta mtu anasema roles model wake ni baba yake au mama yake lakini ukiangalia uhalisia hamna hata kimoja anachokifanya angalau ashabiiane kimtazamo na kimatendo na hao wazazi au superstars. Tuweni makini maana zinatuponza hasa kwa watu wanaotongozana maana saa ingine hobie inaweza kumvutia mwenzako na mkianza mahusiano akikuta huna lolote lazima mtatofautiana. Mfano mimi nilisema najua kuogelea kumbe sijui...kidogo nizame kwenye swimming pool. Na kuna limtu lingine tuko nalo bar tunalewa kila siku lakini utasikia "aisee mimi roles model wangu ni TB Joshua"...jamani? au labda hatui maana yake. Au Kijana anaonekana kabisa ni mayala alafu anasema roles model wake ni baba au mama yake....mnawazalilisha hawa wazazi. Kwani mkikaa kimya kuta tatizo?

mi role model wangu ANNA MAKINDA
 
Aisee mimi mfalme Daudi ila kwa mujibu wa benteke nimeamua kujidiskolify kimyakimya
Khantwe nafikiri unafit kwa Jembe Daudi...kuna mahali nilisoma kuwa alimpenda mke wa mfayakazi wake...basi akampeleka mme wake jeshini tena kikosi kilecha mbele....yeye huku nyuma akaoa....dah.! Daudi bwana. Ila Mungu alimsamehe
 
Mimi rolomodo wangu ni mimi mwenyewe sababu najiiga na kufuata ninachofanya.

Nikiwa mtu mzima nataka kuwa kama mimi.
 
Khantwe nafikiri unafit kwa Jembe Daudi...kuna mahali nilisoma kuwa alimpenda mke wa mfayakazi wake...basi akampeleka mme wake jeshini tena kikosi kilecha mbele....yeye huku nyuma akaoa....dah.! Daudi bwana. Ila Mungu alimsamehe

Alimsamehe kwaajili ya uaminifu na toba aliyokuwa nayo...I realy admire him
 
Back
Top Bottom