benteke
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 1,305
- 1,069
Hivi tunavosema hobbies zetu au kuwataja watu mashuhuri au wazazi kuwa roles model wetu tunamaanisha kweli?
Ni ajabu sana unakuta mtu anasema roles model wake ni baba yake au mama yake lakini ukiangalia uhalisia hamna hata kimoja anachokifanya angalau ashabiiane kimtazamo na kimatendo na hao wazazi au superstars.
Tuweni makini maana zinatuponza hasa kwa watu wanaotongozana maana saa ingine hobie inaweza kumvutia mwenzako na mkianza mahusiano akikuta huna lolote lazima mtatofautiana. Mfano mimi nilisema najua kuogelea kumbe sijui...kidogo nizame kwenye swimming pool.
Na kuna limtu lingine tuko nalo bar tunalewa kila siku lakini utasikia "aisee mimi roles model wangu ni TB Joshua"...jamani? au labda hatui maana yake.
Au Kijana anaonekana kabisa ni mayala alafu anasema roles model wake ni baba au mama yake....mnawazalilisha hawa wazazi. Kwani mkikaa kimya kuta tatizo?