Jiwe( rafki yake Bashite)?Hivi yeye yule hakuwa na visasi?
Jiwe( rafki yake Bashite)?Hivi yeye yule hakuwa na visasi?
Kopo la chooniKarai
Hii mbegu wameiwekea mbolea, itazaa mazito. Huko CCM visasi vina historia na inawezekana ndio vitakuja kuisambaratisha beyond repair.Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.
Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.
Mungu ni mwema wakati wote
Yule yuleJiwe( rafki yake Bashite) ?
Watawala wa CCM wana tamaa sana na wamekataa katiba mpya kwa uroho wa madaraka wakihofia chama chao kuondoka madarakani.Matatizo yote hayoo dawa ni Katiba mpya.
Kikwete hakufanikisha katiba mpya ili ajinufaishe na team yake.
Matokeo Yake akapewa RUNGU kichaa JPM akaanza kumtwangwa kikwete na team yake.
maana rais ana mamlaka kama mungumtu.
Kikwete mpaka alitaman bora kungekuwa na katiba mpya.
Wakati huo jpm na team yake wanakula bata na mema ya nchi na wao hawakutaka katiba mpya.
Vuuup jpm kadondoka team yake nayo inajuta bora wangemshauri jpm kuusu katiba mpya. Team jpm inakula msoto.
Sasa ni zamu ya hangaya kama hataleta katiba mpya nae atakuja kujuta kwanini hakuleta katiba mpya.
Magufuli anastahiri kutukanwa tuMungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.
Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.
Mungu ni mwema wakati wote
Kwani hiyo roho ya visasi iliwahi kutoka humo CCM?Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.
Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.
Mungu ni mwema wakati wote
Naseka bu nguzu gete😀😀😀😀Kwani hiyo roho ya visasi iliwahi kutoka humo CCM?
Fisiemu😀Uaneni tu,tuliwaambia kuwa mkimaliza wapinzani mtageukiana wenyewe kwa wenyewe.View attachment 2245276
Thubutuuu. Labda padri wa kuua na kuteka wapinzani wake.Magu alikuwa Mkristo tena mseminari na mwenyewe anasema chupuchupu awe Padri
Unamsifia wakati hajapata nafasi tukaona kama hana roho ya kisasi.Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.
Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.
Mungu ni mwema wakati wote
ChachaThubutuuu. Labda padri wa kuua na kuteka wapinzani wake.
Ulitaka uwe chini ya nani? Au huko ccm uongozi uliondoka na mwendazake na Sasa Kila mwanaccm ni kiongozi?Kwa sasa uongozi Wote wa Chadema uko chini ya Mwenyekiti wa CCM
Hutaki acha!
Azory Gwanda, Mawazo na Ben saa 8.Chacha
You're next....Mungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.
Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.
Mungu ni mwema wakati wote