Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,448
- 100,744
Mbele na nyumaCcm Wabanduana!!
Mbele na nyumaCcm Wabanduana!!
Ni KansaMungu mbariki sana mzee Lowassa hakuwa na kisasi yule dingi labda ni kwa sababu ya Ukristo wake.
Kwa namna alivyotukanwa na hawa wanaomtukana Magufuli leo Hakika CCM ni chimbo la unafiki iliyopitiliza.
Mungu ni mwema wakati wote
Story za vijiweniHivi unawaza anavyowaza Mwakyembe juu ya Lowasa?
Mnajifanya kuwabeza wengine na kusahau na wengine nao ni binadamu tu saw a na wengine. Ama ndo ile ya kila mwamba ngoma?Story za vijiweni
Weee alikuwa motooo kbsa achaaHivi yeye yule hakuwa na visasi?