Roho ya uharibifu inavyoliharibu Taifa

Roho ya uharibifu inavyoliharibu Taifa

Kwa nini wanachekelea kama kweli tuko pamoja nao? Isistoshe Mradi wa mwendo kasi umejengwa kwa mkopo ambao sisi Watanzania tutaulipia, hivyo kuchekelea kushindwa kwake ni Usaliti, na ndiyo maana Mungu anawalaani mnajisaidia kitandani kwa kushindwa hata kutembea shauri ya roho ya husda!
Ddddaaahhh pole yako
 
Kuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha.
Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako, familia yako, kipato chako etc.
Roho ya uharibifu ndio inayoharibu uchumi wetu, ndio inayoharibu kipato chetu, inaharibu mfumo wetu wa elimu.
Kabla hatujaanza kumuombea rais ni lazima tuiombee roho ya uharibifu itutoke ili tuweze kuendelea.
Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, siasa safi, uongozi Bora Na ardhi.
Siasa yetu imeingiliwa Na roho ya uharibifu, watu wananunulika, wanasahau kuwa ni sisi tuliowachagua.
LEO wanaacha madaraka tuliyowakabidhi, tunaenda kwenye uchaguzi mwingine utao haribu pesa za nchi.
Ardhi yetu imeingiwa Na roho ya uharibifu. Sera zetu za ardhi ni kichefuchefu.
Uongozi Bora nao haupo, ni uharibifu Kila mahali
The usisahau kuwa mwenge ni laana Na ndio chanzo cha uharibifu.
Isaya 50:11
Roho ya uharibifu inadhihirika kupitia huyu mfuasi wa sheitwani Uchwara anayeharibu kila kitu.

Wabillah Tawfiq,

 
Mimi huwa najiuliza, japo sio kitu kizuri sana, siku akifa Makonda atazikwa kama Paulo Makonda au Daudi Bashite?
Kabisa na Askofu ataendesha ibada ya kuficha ukweli?
Ndugu zake watamlilia Paulo ama Daudi?
Msalaba wake kaburini utaandikwa nini?

Maswali magumu haya......kama ngumi ya Lugumi!
Maswali fikirishi, ngoja tupate majibu "akifa"
 
12106998_983301321712518_890501338974565509_n.jpg
12108901_753009791471102_5226224161587987673_n.jpg
10303738_1520372571618032_7580939711082362451_n (1).jpg
12108790_1000098236720837_1750969683368950749_n.jpg
 
Mimi huwa najiuliza, japo sio kitu kizuri sana, siku akifa Makonda atazikwa kama Paulo Makonda au Daudi Bashite?
Kabisa na Askofu ataendesha ibada ya kuficha ukweli?
Ndugu zake watamlilia Paulo ama Daudi?
Msalaba wake kaburini utaandikwa nini?

Maswali magumu haya......kama ngumi ya Lugumi!
Mods naomba uanzishe thread kupitia comment ya mchangiaaji huyu. Maana bdo hatuelewi hapa
 
Umesahau pia roho ya uharibifu na fitina ya chadema &Co. ambao ni kama wanasubiri nchi ishindwe wafurahie, wanaombea mradi wa mwendokasi ufe na usimame wacheke, wanaombea Wanafunzi wakose mikopo wafurahie, wanaombea Ubungo interchange ishindwe wachekelee, wanaombea Shirika letu la ATCL lishindwe kunyanyuka wafurahie, wanaombea ndege zetu zikamatwe na Muzungu (Tundu Lisu) ili tusiweze kujinasua hapa, wanaombea SGR yetu ishindwe na wanakwenda hata mbali na kuwaambia Muzungu aiwekee Tanzania vikwazo vya Kiuchumi, tena akina Tundu Lisu wanaandika barua kabisa!

I hate Tundu Lisu, ni is the devil!
Watanzania hatuna tabia ya kuchukiana hivyo hizo tabia ni za rwanda na inaonyesha wewe sio mtanzania hata kiswahili chako kinatia shaka mtusi
 
Pesa za kununua madiwan na wabunge zinatokana na kodi zetu?
 
Watu hawa huniataja kwa vinywa vyao lakini mioyo yao i mbali nami.
Nimekusoma.
Viongozi wetu ni watakatifu sana wakiwa kwenye mikutano na makanisani au misikitini, weeeeee subiri wawe pahali pa siri ! Wanaanza kutambika kwa miungu yao.
 
Mimi huwa najiuliza, japo sio kitu kizuri sana, siku akifa Makonda atazikwa kama Paulo Makonda au Daudi Bashite?
Kabisa na Askofu ataendesha ibada ya kuficha ukweli?
Ndugu zake watamlilia Paulo ama Daudi?
Msalaba wake kaburini utaandikwa nini?

Maswali magumu haya......kama ngumi ya Lugumi!
Pia ungejiuliza je atakufa kifo gani je ni kifo cha mwili kupatikana au anaweza kuliwa na samaki baharini au akaungua na kubaki majivu....
 
Back
Top Bottom