Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,401
"Its a torture to be president" JPM, 2017.Wameshamjaribu Mkuu ndiyo maana frustrations kibao hata usingizi haupandi.
"Its a torture to be president" JPM, 2017.Wameshamjaribu Mkuu ndiyo maana frustrations kibao hata usingizi haupandi.
Na bado"Its a torture to be president" JPM, 2017.
BASHITE, ukimwita hivyo anakasirika wakati ndio jina lakeMimi huwa najiuliza, japo sio kitu kizuri sana, siku akifa Makonda atazikwa kama Paulo Makonda au Daudi Bashite? Kabisa na Askofu ataendesha ibada ya kuficha ukweli?
Ndugu zake watamlilia Paulo ama Daudi? Msalaba wake kaburini utaandikwa nini?
Maswali magumu haya......kama ngumi ya Lugumi!
Mimi huwa najiuliza, japo sio kitu kizuri sana, siku akifa Makonda atazikwa kama Paulo Makonda au Daudi Bashite?
Kabisa na Askofu ataendesha ibada ya kuficha ukweli?
Ndugu zake watamlilia Paulo ama Daudi?
Msalaba wake kaburini utaandikwa nini?
Maswali magumu haya......kama ngumi ya Lugumi!
Wewe mkaliKuchepika na mke wa balozi nayo ni roho ya uharibifu?
Ngoja niwahi Kebby's hotel nikaiponye roho ya uharibifu
Bora mkono uende kinywaniNgoja kwanza atoke mochware... si unajua kazi yake?
Hahahha haya bhana... usimwambie lakini. Sipendi kugombana na mtani wangu...Bora mkono uende kinywani
Unaua bendi ujueNgoja kwanza atoke mochware... si unajua kazi yake?

Kwa akili zangu nikajua nakufagilia....Unaua bendi ujue![]()
Kuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha.
Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako, familia yako, kipato chako etc.
Roho ya uharibifu ndio inayoharibu uchumi wetu, ndio inayoharibu kipato chetu, inaharibu mfumo wetu wa elimu.
Kabla hatujaanza kumuombea rais ni lazima tuiombee roho ya uharibifu itutoke ili tuweze kuendelea.
Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, siasa safi, uongozi Bora Na ardhi.
Siasa yetu imeingiliwa Na roho ya uharibifu, watu wananunulika, wanasahau kuwa ni sisi tuliowachagua.
LEO wanaacha madaraka tuliyowakabidhi, tunaenda kwenye uchaguzi mwingine utao haribu pesa za nchi.
Ardhi yetu imeingiwa Na roho ya uharibifu. Sera zetu za ardhi ni kichefuchefu.
Uongozi Bora nao haupo, ni uharibifu Kila mahali
The usisahau kuwa mwenge ni laana Na ndio chanzo cha uharibifu.
Isaya 50:11
Unaua bendi ujue![]()
cool down the pace