Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,224
- 166,265
Tunahitaji maombi mazitoVyeti feki roho ya uharibifu madini roho ya uharibifu bomoabomoa roho ya uharibifu traffic faini roho ya uharibifu meri ya magogoni - bagamoyo roho ya uharibifu kuzuia nyumba mwanza roho ya uharibifu kuzuia gharama ya matibabu ya lisu roho ya uharibifu

Kuchepuka na mke wa balozi nayo ni roho ya uharibifu?Tunahitaji maombi mazito
Kuchepika na mke wa balozi nayo ni roho ya uharibifu?
Ngoja niwahi Kebby's hotel nikaiponye roho ya uharibifu
Sawa kiongozi...Ukimkuta January Maganga naomba nistue na mimi nije......
Kebby's lile nalo ni janga la uharibifu haswaKuchepika na mke wa balozi nayo ni roho ya uharibifu?
Ngoja niwahi Kebby's hotel nikaiponye roho ya uharibifu
Uzuri ni kwamba.... Hajaribiwi!Kebby's lile nalo ni janga la uharibifu haswa
Jamaa alishaondoka kule Uganda
Frustration lazima zimuharibu mtu katika uharibifu wake
Uharibifu nao huwa haujaribiwi, huwa unaharibu tu.Uzuri ni kwamba.... Hajaribiwi!
Kuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha.
Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako, familia yako, kipato chako etc.
Roho ya uharibifu ndio inayoharibu uchumi wetu, ndio inayoharibu kipato chetu, inaharibu mfumo wetu wa elimu.
Kabla hatujaanza kumuombea rais ni lazima tuiombee roho ya uharibifu itutoke ili tuweze kuendelea.
Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, siasa safi, uongozi Bora Na ardhi.
Siasa yetu imeingiliwa Na roho ya uharibifu, watu wananunulika, wanasahau kuwa ni sisi tuliowachagua.
LEO wanaacha madaraka tuliyowakabidhi, tunaenda kwenye uchaguzi mwingine utao haribu pesa za nchi.
Ardhi yetu imeingiwa Na roho ya uharibifu. Sera zetu za ardhi ni kichefuchefu.
Uongozi Bora nao haupo, ni uharibifu Kila mahali
The usisahau kuwa mwenge ni laana Na ndio chanzo cha uharibifu.
Isaya 50:11
Dah... basi ngoja nikajifiche kwenye boti yetu pendwa... MV Dar Es SalaamUharibifu nao huwa haujaribiwi, huwa unaharibu tu.
Nimekuelewa sana BujibujiKuna roho nyingi zinazofanya kazi. Kazi za kusonga Na kazi ya kubomoa. Kazi ya kupatanisha Na kazi ya kufarakanisha.
Roho ya uharibifu ni roho yenye nguvu sana. Itaharibu ndoa yako, gari yako, familia yako, kipato chako etc.
Roho ya uharibifu ndio inayoharibu uchumi wetu, ndio inayoharibu kipato chetu, inaharibu mfumo wetu wa elimu.
Kabla hatujaanza kumuombea rais ni lazima tuiombee roho ya uharibifu itutoke ili tuweze kuendelea.
Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, siasa safi, uongozi Bora Na ardhi.
Siasa yetu imeingiliwa Na roho ya uharibifu, watu wananunulika, wanasahau kuwa ni sisi tuliowachagua.
LEO wanaacha madaraka tuliyowakabidhi, tunaenda kwenye uchaguzi mwingine utao haribu pesa za nchi.
Ardhi yetu imeingiwa Na roho ya uharibifu. Sera zetu za ardhi ni kichefuchefu.
Uongozi Bora nao haupo, ni uharibifu Kila mahali
The usisahau kuwa mwenge ni laana Na ndio chanzo cha uharibifu.
Isaya 50:11
Uzuri ni kwamba.... Hajaribiwi!