Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Roho ya Madeni Ikuachie Kuanzia sasa
Mim mbona hua sikopeshwi, au sikopesheki😁😁😁Roho ya Madeni Ikuachie Kuanzia sasaView attachment 3384132
Wewe ni mdaiwa konkiMim mbona hua sikopeshwi, au sikopesheki😁😁😁
Sasa sidaiwi na mtu mim ndo nadai na nakimbiwa. Ikifika muda wangu wa kukopa sikopesheki😢😭😭Wewe ni mdaiwa konki
Sasa Mkuu bila madeni itakuwaje?Roho ya Madeni Ikuachie Kuanzia sasaView attachment 3384132
Mzee mwenzangu Mzee mwenzangu tatizo ilo😂😂Sasa sidaiwi na mtu mim ndo nadai na nakimbiwa. Ikifika muda wangu wa kukopa sikopesheki😢😭😭
Maden yenyewe yanasemaje mkuu 😂😂Sasa Mkuu bila madeni itakuwaje?
Kimekulamba😂😂😂
Tatizo litakua nin mzee mwenzangu?😁😁Mzee mwenzangu Mzee mwenzangu tatizo ilo😂😂