Roho ya hofu imenijaa

Unamfahamu huyo Sigmund Freud mkuu? Yawezekana kabisa kibamia (real or perceived) kinaweza kuhusika hapa japo unconsciously. Jibu swali langu nikupe nondo za mlango wa Psychoanalysis.

Ninao muhogo wa kutosha tu
 
Unamfahamu huyo Sigmund Freud mkuu? Yawezekana kabisa kibamia (real or perceived) kinaweza kuhusika hapa japo unconsciously. Jibu swali langu nikupe nondo za mlango wa Psychoanalysis.

Wewe Utakuwa Mwalimu, Sigmund Freud Kama Hujasoma Educational Psychology Huwezi Kumfahamu.
 

Nina imani kuwa utakuw auna ugonjwa wa kisaikolojia ambao kwa kiingereza unaitwa Anxiety... Ugonjwa huo pia huambatana na ugonjwa mwingie wa kisaikolojia wa Depression. Jaribu ku google haya magonjwa mawili kwa ufahamu zaidi.
Pole kwa hali uliyo nayo.
 

Kwa ujumla watu wote nawaonea aibu iwe mwanamke au mwanaume.

Na hii hali inafanya watu wananiogopa sababu sipendi utani
 
Roho ya hofu, ikutoke kuanzia sasa ivi.

hiyo hali haitokua kwako tena

 
Ni matatizo ya kisaikolojia, lakini watu wenye tatizo kama lako huwa wanakuwa na akili sana, Tafadhali angalia mkanda wa the gods must be crazy part I
 
boss umenichekesha sana nami mbavu hoi hapa

Yaani siku ilikua ni balaa!

niivuta mita chache kutoka ninakoishi.
Nikamaliza nikawaacha wengine wakivuta, sasa nilipoingia ndani ya geti nikamkuta mdada mmoja anaosha vyombo katika karo, nikamsalimia.

Habari za muda huu huku nikiwah mlango wangu niingie ili asinione kama nnacheka, alipoitika tu mimi kicheko cha kufa mtu lakini hakuniuliza kwanini unacheka,

Nikaingia ndani nikaenda kitandani nikalala nikiwa nimelala nikajiuliza hivi ninafanyaje? hapo kikafuata kicheko balaaa wakati huo niko mwenyewe, nikahisi mkojo nikaamka nikeenda kukojoa nilipokua natoka chooni nikajiuliza hivi nimekuja kufanyaje huku chooni kumbe sikukojoa nikaacheka mpaka yaani bangi siku hiyo ilinifanya Mjinga sana!
 
Ni matatizo ya kisaikolojia, lakini watu wenye tatizo kama lako huwa wanakuwa na akili sana, Tafadhali angalia mkanda wa the gods must be crazy part I

Sawa Mkuu
 

Asante Mkuu
 

Teh tee.ww mbayaaaaa!
 
Kuna aina sita tu za hofu nazo ni..
1. Poverty
2. Criticism
3. Ill Health
4. Loss of Love
5. Old Age
6. Death
hofu nyingine zote zinaingia huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…