Roho ya hofu imenijaa

Issue kubwa ni church tu Hanna jinsi roho ya mauti ikikuvaa hizo ndyo ishara zake, pole sana hapo kujiamini hakupo tena .
inafika wakati najichukia sababu ya aibu
 

Sio kweli usemayo kwani nyumba nnayokaa ni ya ndugu yangu.

tiyar nimeoa na mtoto ninae

Sio kuoa tena sidhani
 
Duuh! wee jamaa 24/7 unaanzisha mada za matatizo na ushauri, yaelewekea wewe una matatizo mengi sana sana.
Matatizo ni sehem ya maisha ya binaadam
 
Kila mwanadamu ana uoga na Aibu. Ila viwango hutofautiana. Hii husaidia watu kutofanya ujinga na maovu hadharani.
Hakuna tatizo Kubwa ila punguza matarajio makubwa kupita kiasi kwa kitu chochote. Inaitwa high anticipation.
Pia pata muda wa kupumzika, kusafiri na kusikiliza Mikasa iliyowapata wengine ili ujue hauko peke yako.
 
Umri nao pia unahusika, 30 Tatar? Kama bado unakomaa usijar, ila jambo la msingi jitahidi kufunga na kumwomba Mungu hiyo roho ikuache, amini nakuambia hiyo ni roho kamili na inafanya kazi ndani yako, ishinde itakimbia ikikushinda itakukimbiza wewe.
 
Unamfahamu huyo Sigmund Freud mkuu? Yawezekana kabisa kibamia (real or perceived) kinaweza kuhusika hapa japo unconsciously. Jibu swali langu nikupe nondo za mlango wa Psychoanalysis.
 
Sio kweli usemayo kwani nyumba nnayokaa ni ya ndugu yangu.

tiyar nimeoa na mtoto ninae

Sio kuoa tena sidhani

Wewe vipi ? kama hukunielewa sema. Nilikua najua unakaa nyumba ya ndugu ambae ni baba mwenye nyumba. Huyo mwenye nyumba ana mke na wewe unapenda sana kumuangalia akiwa hakuoni, hasa akigeuka. KATAA.

Unaruhusiwa kumuoa mtoto wa huyo mwenye nyumba wako ambae ni ndugu wa mbali kama mke wa pili ili uwe tajiri.

Pia unatakiwa urushe hiyo vocha sh 13,000 leo leo kabla nyota yako haijafifia.
 

Khaa!! Wewe unaitwa Edo? Nauliza tu
 
ngoja nikucheke kwa sauti kubwa hahaha.kazi unayo kubwa tu ya kufanya iyo unayofanya saivi ni ya kitoto
 

unaona aibu ukiwa na wanaume au wanawake?..

kama umeoa basi utakuwa umepanga nyumba, au sio..?
Fanya mpango uhame hapo unapoishi...
na pia upuka kufanya vitu kisirisiri, uwe wazi, mkweli kwa mkeo na marafiki... ukweli huleta uhuru.
Fanya mazoezi, kuuchangamsha mwili hasa asubuhi kabla ya kazi nyingine, hii huongeza kujiamini kuwa uko sawa.
 
Una muhogo wa jang'ombe au kibamia? Tuanzie hapo kwanza. Sigmund Freud shikamooooo!!!

Wewe ni mee au K. ninawasiwasi na wewe. ningesema lakini hii sheria iliyoanza juzi inakataza. najua umenielewa.
 
Wewe ni mee au K. ninawasiwasi na wewe. ningesema lakini hii sheria iliyoanza juzi inakataza. najua umenielewa.
Wewe ndiyo hujaelewa na bila shaka hujasoma Saikolojia. Nenda Google ukamsome gwiji Sigmund Freud na nadharia yake ya Psychoanalysis ndiyo pengine utapata fununu kuhusu nilichokuwa najaribu kusema hapa. Ukitaka nikufafanulie zaidi sema lakini usiruhusu hisia zako zikutawale na kuanza kuongea usiyoyajua!
 
Umri nao pia unahusika, 30 Tatar? Kama bado unakomaa usijar, ila jambo la msingi jitahidi kufunga na kumwomba Mungu hiyo roho ikuache, amini nakuambia hiyo ni roho kamili na inafanya kazi ndani yako, ishinde itakimbia ikikushinda itakukimbiza wewe.


Thelathini miaka bado sina
 
Mwenye nyumba ni kaka yangu mtoto wake namuoaje? wakati huyo asili ni mwanangu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…