Po Mkuu asantePile sana kama wewe ni mjuzi wa mambo ya mtandao ingia ktk Google andika neno mindfulness au jina Dr Jon Kabbat Zinn kisha bofya fuatilia yote yaliyoandikwa humo utashangaa tatizo lako siyo kubwa kama unavyofikiri hiyo hali itakutoka ukifuatilia nilichokwambia
Hiyo Ishu cyo ya kitoto, mambo ya bangi hayahusiki, itakua mapepo tena pepo la mauti kama hutotafuta tiba utashangaa unaanza kujitenga na watu kabisa. Tafuta kanisa la kiroho ufanyiwe maombi.
Hamjambo?
Karibu katika mada hii
Mimi nimekua na mtizamo hasi kiasi ya kutetemeka au uso kuona aibu wakati wa kuzungumza na watu wengine.
Hata mtu nisiemjua naogopa kumwalia usoni
Sio hivyo tu wakati hilo likiendelea naishiwa pumzi na kutetemeka
Nasikitika kwa hali hii.
Naombeni ushauri.
NB
Moderator tafadhali msiupeleke huu uzi Jf doctor maana wengi hawatauona.
Asante.
Hiyo Ishu cyo ya kitoto, mambo ya bangi hayahusiki, itakua mapepo tena pepo la mauti kama hutotafuta tiba utashangaa unaanza kujitenga na watu kabisa. Tafuta kanisa la kiroho ufanyiwe maombi.