Roho mtakatifu kuwashukia watanzania 2015?

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,772
Reaction score
29,223
Kila siku napiga magoti na kusali nikimuomba roho mtakatifu awashukie watanzania wote mwaka 2015, awafungue akili walizofungwa na ibilisi, na kuwaongoza wafanye mabadiliko ya serikali kupitia masanduku ya kura.

Inasikitisha kwamba pamoja na kuishi ndani ya utawala wa kitumwa bado watanzania wameshindwa kutambua adui yao hasa ni nani.

Kila kukicha hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kwa raia wa kawaida huku tukishuhudia watawala dhalimu wakizidi kunenepeana kama nguruwe kwa kutumia rasilimali za umma.
Gharama za umeme zimepanda kwa 67%, kodi ya laini imehamishwa (haijafutwa), bei za gesi na maji zimepanda, na huduna za jamii (afya, elimu, etc) zinazidi kuwa mbaya kila kukicha. Kupanda kwa gharama za umeme kutachochea bei za bidhaa kupanda mara dufu na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu kuliko wakati wowote ktk historia ya Tanzania. Kwa ufupi hali iko hivyo.

Hivi watanzania ni nani aliyeturoga? Imefika wakati sasa tuamke na tufanye mabadiliko chanya mwaka 2015. Tusikubali kununuliwa tena safari hii.:israel:
 
Mimi sijawahi kununuliwa wala kurubuniwa! Hii sidhani kama inahitaji nguvu ya ziada, tumepewa akili tujitahidi tuzitumie
 
mkuu, simaanishi kunnuliwa kwa wanasiasa--namaanisha kuhongwa kwa wapiga kura--wengi wao, hasa vijijini, hupewa rushwa za chumvi, fulana, gongo, sabuni, etc na kukubali kuuza kura zao kwa maccm. hawajui umuhimu wa kura zao hata kidogo.
 
Ok Ok umesomeka vyema Mpwa wangu, chakufanya tyukawapige shule hao nao wasikubali huo upuuzi na wakikubali basi wachukue wale washibe lakini KURA iende kwa mtu mwenye akili
mkuu, simaanishi kunnuliwa kwa wanasiasa--namaanisha kuhongwa kwa wapiga kura--wengi wao, hasa vijijini, hupewa rushwa za chumvi, fulana, gongo, sabuni, etc na kukubali kuuza kura zao kwa maccm. hawajui umuhimu wa kura zao hata kidogo.
 
Kila siku napiga magoti na kusali nikimuomba roho mtakatifu awashukie watanzania wote mwaka 2015, awafungue akili walizofungwa na ibilisi, na kuwaongoza wafanye mabadiliko ya serikali kupitia masanduku ya kura.

Inasikitisha kwamba pamoja na kuishi ndani ya utawala wa kitumwa bado watanzania wameshindwa kutambua adui yao hasa ni nani.

Kila kukicha hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kwa raia wa kawaida huku tukishuhudia watawala dhalimu wakizidi kunenepeana kama nguruwe kwa kutumia rasilimali za umma.
Gharama za umeme zimepanda kwa 67%, kodi ya laini imehamishwa (haijafutwa), bei za gesi na maji zimepanda, na huduna za jamii (afya, elimu, etc) zinazidi kuwa mbaya kila kukicha. Kupanda kwa gharama za umeme kutachochea bei za bidhaa kupanda mara dufu na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu kuliko wakati wowote ktk historia ya Tanzania. Kwa ufupi hali iko hivyo.

Hivi watanzania ni nani aliyeturoga? Imefika wakati sasa tuamke na tufanye mabadiliko chanya mwaka 2015. Tusikubali kununuliwa tena safari hii.:israel:
Kitufe cha 'like' sijakiona kwa hiyo na-like hapahapa kwa njia hii! A good thread to end the year.
 
Ushamuona yule mtetea posho bungeni Lema alivyonenepa kama nguruwe?
 
Let's not involve God for our own mess...

Ubinafsi umewajaa viongozi wetu, ushabiki wa kijinga umewajaa walio wengi, kutokuwajibika katika nafasi tulizowekwa kama dhamana kwa wananchi kunalipoteza taifa lenye rasilimali nyingi kuliko unavyodhani.

This country needs a dictator to straighten it, mkiwaweka wanaopenda kukenua kama tunavyoona saivi, hatufiki katu asilani.
 
tunakushukuru sana mkuu , kwa vile mungu ni mwema bila shaka atatenda miujiza .
 
Mleta mada umeongea kweli tupu! inatia uchungu sana kuona raslimali za taifa letu zikitoroshwa na hawa wakoloni weusi.Mada murua kabisa ya kufungia mwaka na abarikiwe sana aliyeileta.Wote semeni AMEN
 
kila siku napiga magoti na kusali nikimuomba roho mtakatifu awashukie watanzania wote mwaka 2015, awafungue akili walizofungwa na ibilisi, na kuwaongoza wafanye mabadiliko ya serikali kupitia masanduku ya kura.

Inasikitisha kwamba pamoja na kuishi ndani ya utawala wa kitumwa bado watanzania wameshindwa kutambua adui yao hasa ni nani.

Kila kukicha hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kwa raia wa kawaida huku tukishuhudia watawala dhalimu wakizidi kunenepeana kama nguruwe kwa kutumia rasilimali za umma.
Gharama za umeme zimepanda kwa 67%, kodi ya laini imehamishwa (haijafutwa), bei za gesi na maji zimepanda, na huduna za jamii (afya, elimu, etc) zinazidi kuwa mbaya kila kukicha. Kupanda kwa gharama za umeme kutachochea bei za bidhaa kupanda mara dufu na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu kuliko wakati wowote ktk historia ya tanzania. Kwa ufupi hali iko hivyo.

Hivi watanzania ni nani aliyeturoga? Imefika wakati sasa tuamke na tufanye mabadiliko chanya mwaka 2015. Tusikubali kununuliwa tena safari hii.:israel:

kwa niaba ya familia yangu , nakutakia afya njema sana kamanda , ubarikiwe sana .
 
Kila siku napiga magoti na kusali nikimuomba roho mtakatifu awashukie watanzania wote mwaka 2015, awafungue akili walizofungwa na ibilisi, na kuwaongoza wafanye mabadiliko ya serikali kupitia masanduku ya kura.

Inasikitisha kwamba pamoja na kuishi ndani ya utawala wa kitumwa bado watanzania wameshindwa kutambua adui yao hasa ni nani.

Kila kukicha hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kwa raia wa kawaida huku tukishuhudia watawala dhalimu wakizidi kunenepeana kama nguruwe kwa kutumia rasilimali za umma.
Gharama za umeme zimepanda kwa 67%, kodi ya laini imehamishwa (haijafutwa), bei za gesi na maji zimepanda, na huduna za jamii (afya, elimu, etc) zinazidi kuwa mbaya kila kukicha. Kupanda kwa gharama za umeme kutachochea bei za bidhaa kupanda mara dufu na kufanya hali ya maisha kuwa ngumu kuliko wakati wowote ktk historia ya Tanzania. Kwa ufupi hali iko hivyo.

Hivi watanzania ni nani aliyeturoga? Imefika wakati sasa tuamke na tufanye mabadiliko chanya mwaka 2015. Tusikubali kununuliwa tena safari hii.:israel:

Amen' "Kwa Mungu yote yawezekana kwake aaminiye" Tuendelee kuomba Mungu afungue ufahamu wa
watanzania wauone ukweli huu'
 
Maccm walimpa shetani utukufu...

-Matambiko ya albino, kuhalalisha ugaidi kwa madaia ya usalama wa taifa, Nyumba za ibada zikachomwa na kulipuliwa ili watu wasiende abudu, kuchinja kukaporwa kwa mwenye kitoweo na mlaji wa kitoweo, fisadi akaitwa malaika na mchapa k azi, etc
 
Roho mtakatifu ni demu wa mtungo tena analiwa hadi tigo

Nina shaka na huyo mungu wako unayemwabudu!Inaonekana anakusaidia sana kwenye shughuli zako za uganga na wakati wa kwenda kuroga!Mpaka watu wakimtaja roho mtakatifu unahisi roho inakutoka!
Roho mtakatifu mooooooooto!
Mshukie huyu sheitwan ajitambue 2015!

Ameeen!
 
Back
Top Bottom