Roho mbaya

Roho mbaya

Masoud Mwakoba

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
129
Reaction score
19
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?
 
umenena mkuu ni ukweli mtupu. kuna watu mpaka msosi kwao ni dili sana.
wenye roho mbaya wako wengi sana kuliko sisi wenye roho nzuri.
 
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?

Vyakula gani husababisha roho mbaya?
 
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?

kweli kabisa mkuu yaan huabudia vyakula kuliko utu
 
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?

Kwenye bold, bila chakula si hamna uhai au?
 
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?

Nimekuelewa, watu hawa ni pamoja na wale wanaomtumikisha kijana wa kazi mchana kutwa, saa ya chakula anampa vipande viwili vya nyama.
 
Mi sijakupata vizuri, una maanisha uchoyo wa chakula ndo huleta roho mbaya au kuna aina ya vyakula ukila ndo vinaleta roho mbaya?
 
Roho mbaya husababishwa na chakula, kwa mujibu wa nani?
 
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?
Masoud; unaongelea uchoyo au roho mbaya?Ukikutana na mtu mwenye roho mbaya, mchoyo wa chakula utamuona ni binadamu mara mia. Mwenye roho mbaya haoni shida hata kuua, mchoyo anakunyima chakula tu halafu unabaki ulivyo. Cheza na roho mbaya wewe! Kwa chakula ni uchoyo, ambayo nayo ni roho mbaya iliyo katika kiwango cha chini sana katika level ya madhara kwa binadamu
 
umeongea point sana,hiko chakula ukumaliza
kula unaenda chooni.........
 
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?

kweli kabisa
 
Yaani humu siachi kutabasamu kila niingiapo, bora uchoyo wa chakula kuliko roho mbaya wadau.
 
Nimekuelewa, watu hawa ni pamoja na wale wanaomtumikisha kijana wa kazi mchana kutwa, saa ya chakula anampa vipande viwili vya nyama.
Halafu hao wako wengi humtumikisha hata hg kama mtumwa. Jamani majumba yanaficha mengi haya. Yaani utakuta kasichana ka kazi kanatumikishwa utadhani kaliomba kawe na dhiki. Tunasahau kua hakuna aombaye kuzaliwa kwenye familia fukara au yenye wazazi wasio jali . Roho mbaya ni kama uchawi tena wengine roho mbaya huenda pamoja na ubaguzi, utabaguliwa wewe mpaka utakoma kuringa. Shime tubadilike.
 
Asilimia 90 ya watu wenye roho mbaya husababishwa na vyakula,hapa nina maana kwamba watu wengi wenye roho mbaya ni kwa sababu chakula kwao wanaona ni kitu cha maana zaidi kuliko kitu kingine chochote!
Hii imekaaje wadau?

Umenyimwa futari nini?
 
Back
Top Bottom