Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Na wanawake wa siku hizi hawakatai wakitongozwa, hususani katika vyombo vya usafiri.
Wanaume wengine huwa wanafanya mazoezi ya kuimbisha na kupima anakubalikaje na matokeo yake anakutana na mwanamke mwenye roho mbaya kama yake anamwachia mzigoMmmmh hapo hata huyo mwanamke nae ana roho mbaya....
Hata mimi sielewi....au mkuu anataka tusitongoze kwenye mabasi?Naona kama sijaelewa, labda ni kutokana na shule yangu kua ndogo ila sijaelewa kabisa mtoa mada anasemaje.
Kwa hiyo hutaki watu tutongoze kwenye mabasi au nini.
Uroho wetu ni upi hasa,kutongoza msafiri mwenzako? Sasa tutongoze wapi kama kutongoza msafiri mwenzako ni uroho na roho mbaya.
Kwa kweli sijaelewa.
hii milike naona nimefiikia level ya stalking. naomba uache kuandika punchlines.Mmmmh hapo hata huyo mwanamke nae ana roho mbaya....
Unakuwepo kwenye chombo cha usafiri, labda unatoka Mwanza kwenda Dar. Kwenye siti ukapata nafasi ya kukaa na mwanamke, na safari inaendelea.
Mara mnaanza kujuana na kupiga mastori, mpaka kufika mwisho wa safari tayari huyo mwanamke umeshaanzisha nae mahusiano, na mda huo humjui vizuri kuhusu Tabia na Afya kwa ujumla.
Inakaaje hii, Mbona sisi wanaume ni waroho kiasi hicho?
Kisimani (kijijini), kwenye super market na shopping molls (mijini)...hapa burger zinahusika, club kwa wapenda maunoe, baa kwa sie wapenda maji ya uzima mwisho kabisa karibu na vibanda vya hela za mitandao na ATM... Kwingine ni ROHO MBAYA zinazaliwa.kwani tunatakiwa kutongozewa wapi hasa ili msionekane na roho mbaya?
kwani tunatakiwa kutongozewa wapi hasa ili msionekane na roho mbaya?
ha haa ha ha hahaKisimani (kijijini), kwenye super market na shopping molls (mijini)...hapa burger zinahusika, club kwa wapenda maunoe, baa kwa sie wapenda maji ya uzima mwisho kabisa karibu na vibanda vya hela za mitandao na ATM... Kwingine ni ROHO MBAYA zinazaliwa.
pm kuna majanga huko kuache kabisaPM......