Digaller
JF-Expert Member
- Oct 20, 2009
- 745
- 427
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?