Roho kwatuuuuu....!!?

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?
 
NI MAPEMA MNO KULIONGELEA SWALA ILI CZ UO MCHEZO SJAUANZA BADO

NGOJA NIENDE NIKAWAITE WENYE MAUZOEFU YAO NA WAPENZ WATANO WATANO....MIMI AKHU SIUSIKI...:car:
 
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?
si vijana tu hata wazee wanatumia hiyo theory ndio maana utakuta mtu kafiwa na mkewe miezi sita haijapita anataka kuoa jiulize huyo mke mtarajiwa amempata lini kama akuwa pending muda mrefu tu
 
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?

Wote wanaweza kukukera kwa wakati mmoja! kwa hiyo hakuna uthibitisho wa jambo hilo! labda ukawafuate wale wa kununua ambao hawanuni wala kukukera muda wote ili mradi watoa malipo mazuri, tahadhari uwe mjanja wa kuficha waleti yako!
 
Sina nyongeza hapo
 
sidhani kama kuna ukweli woowote ndani yake as u knw binadam tunafanana kama tunavyotofautiana so kama mpz wako A anamatatizo ya kususa ovyo,B anatatizo la kudeka,C anatatizo la kung'ang'ania vitu...........,utakuwa unatoka kwa A ukienda kwa B unakutana na tatizo ukienda kwa C same and the list goes on n on,nadhani kama binadam lazima na ww unamapungufu yako tea mengi tu,ni vzr kukaa na mwenzio na kujua nn mnapaswa kufanya ktk mahusiano yenu ili muweze kufika kule mtakako zaidi ya yote kumshirikisha Mungu ktk kila jambo jema mpangalo.Kuwa na wapenzi wengi tu mi ni ushamba na ujinga tu,kwanza unaongeza matatizo na mtumizi,na mapenzi yanapungua!
 
hii ni kweli kwa asilimia kubwa ndo maana hata simu zenu hamtaki partner wako achungulie coz atakuta sms za vimada/mabuzi
 
Kweli kila mmoja ana mtizamo wake katika mapenzi kikubwa ni kuheshimiana kuwa waaminifu kuwa na hofu ya Mungu then hayo mambo ya kuumizana hadi kuwa na sabtitute ni hatari. Kumbuka huyo sabtitute hawezi kuwa pending muda wote lazima atakuwa na mtu pia tuwe waaminifu kwenye ndoa zetu ni hayo tu kwa leo
 
YES!
pia nachokifahamu tu kwa waliooa ni kwamba inatakiwa kuwa unamega nje ili hata siku na wewe ukisikia umemegewa iwe neutro tu isikuume sana kiasi cha kuja kusababisha madhara makubwa kama kujiua au kuua mwezi wako so make it simple like that mega nnje ...:smile-big:
 
Unaweza kuwa na wanawake pembeni na bado usipate furaha uitakayo,katika mapenzi kuna mmoja ambaye hujikuta unampenda kwa dhati na hana mbadala wake so akikuumiza utaumia tu na hutopata wa kupunguza tatizo
 
YES!
pia nachokifahamu tu kwa waliooa ni kwamba inatakiwa kuwa unamega nje ili hata siku na wewe ukisikia umemegewa iwe neutro tu isikuume sana kiasi cha kuja kusababisha madhara makubwa kama kujiua au kuua mwezi wako so make it simple like that mega nnje ...:smile-big:

Easy..!
 
Kuna Tetesi kwa vijana kuwa ili kupunguza wingi wa mawazo, kuwekwa roho kwatu, kuwekwa roho juu, kuumia kwa mawazo kuz ov mapenzi basi unatakiwa kuwa na wapenzi zaidi ya mmoja ili akikuumiza mmoja basi wa pili anakutuliza mawazo. Je kuna ukweli katika hili?

Kama umeumizwa na mwanamke unatafuta suluhisho la mwanamke, hapo utaumia mkuu!
Tafuta njia zingine za kutatua yanayokutatiza
 
sidhani kama kuna ukweli woowote ndani yake as u knw binadam tunafanana kama tunavyotofautiana so kama mpz wako A anamatatizo ya kususa ovyo,B anatatizo la kudeka,C anatatizo la kung'ang'ania vitu...........,utakuwa unatoka kwa A ukienda kwa B unakutana na tatizo ukienda kwa C same and the list goes on n on,nadhani kama binadam lazima na ww unamapungufu yako tea mengi tu,ni vzr kukaa na mwenzio na kujua nn mnapaswa kufanya ktk mahusiano yenu ili muweze kufika kule mtakako zaidi ya yote kumshirikisha Mungu ktk kila jambo jema mpangalo.Kuwa na wapenzi wengi tu mi ni ushamba na ujinga tu,kwanza unaongeza matatizo na mtumizi,na mapenzi yanapungua!

Pearl: Uko sahihi sana, tatizo halitatuliwi kwa tatizo jingine!, you will be just adding more problems
 
Back
Top Bottom