roho inaniuma sana

roho inaniuma sana

gwenivia

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
118
Reaction score
20
jaman kwa jinc nnavoipenda tz watu wanaojifanya ziwa nyasa ni mali yao wananifanya nifikirie kuua kuna Malawians mpaka sasa wanang'ng'ania ziwa ni lao jaman naumia watanzania naomba ushauri wenu maana nahis moyo wangu unazid kujenga chuki na hawa watu
 
Mkuu kuwa mpole, kelele zao zitazimwa karibuni
 
jaman kwa jinc nnavoipenda tz watu wanaojifanya ziwa nyasa ni mali yao wananifanya nifikirie kuua kuna Malawians mpaka sasa wanang'ng'ania ziwa ni lao jaman naumia watanzania naomba ushauri wenu maana nahis moyo wangu unazid kujenga chuki na hawa watu

Uko boda nn?

Any way, wakisema ziwa ni lao basi inabidi walipie kila punje ya mchanga ya pwani mwa ziwa inayo ingia kwenye maji maana ni ardhi yetu.
 
Uko boda nn?

Any way, wakisema ziwa ni lao basi inabidi walipie kila punje ya mchanga ya pwani mwa ziwa inayo ingia kwenye maji maana ni ardhi yetu.

ntajie bei ya punje moja ili ni iwasilishe ktk bunge la katiba
 
zitazimwa vp mimi yule mwanamke namshangaa ye si anayo yake kifuan c atuachie tu ziwa letu
Wewe sasa nimegundua unataka ukaogelee kwenye maziwa ya kifuani kwake!
Nikupe mawasiliano ya watu wake wa usalama wamlete pale kasumulu boda?
 
Ushauri: tuliza nafsi yako when diplomatic resolution will failed Military intervetion will be an option. So stay calmed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom