Roho inaniuma sana

Roho inaniuma sana

Vampiree

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2020
Posts
530
Reaction score
1,347
Wakuu habari zenu.. mimi sio mwandishi mzuri sana mtanisamehe kama nitakuwa nimekosea .

Nilikuwa naomba ushauri bila kupoteza mda . Mimi nilingia kwenye mahusiano na Binti mmoja Ambae tulidumu mpaka sasa nimiaka miwili nipo nae, tuliaidiana vingi tulipanga mipango mingi . Uyu binti ni mtu wa dini sana (Muslim)

Nilimpenda kweli na nilimuamini . Uyu binti anasoma chuo uko MWANZA alikuja likizo uku Dar Es salaam ambapo ndio kwako, nilimpenda sana nilijitaidi kumuhudumia pale anapo pata shida kifupi nilijitoa sana juu yake . (Apo cjawai ata kupewa kisi ya shavu wakuu ) Kunasiku nilimuomba aje home kunitemberea kweli alikuja home nilimwambia naitaji sex nae alikataa na akadai Ajawai kusex anaogopa Mimba nilimbembeleza sana lakini aligoma.. nikatumia adi nguvu lakini alikataa.. sikutaka kumlazimisha mana aliaanza adi kulia nilihic wenda akua tayari kwa siku iyo.

Niliamua kumpotezea lakini nilishindwa nilimtafuta ikabidi nimuombe msamaha. siku za rikizo yake ziliisha akarudi chuo, uku akiniadi Awezi ni saliti nilimuamini kiukweli ukizingatia ni mtu wa dini, na tulienderea kuwasiliana na kupigiana simu nilienderea kumudumia na kumsaidia pale alipo kuwa na shida .

Huu mwezi amepata likizo tena amekuja Dar es salaam, zimepita wiki mbili tangia afike. nimejaribu kumuomba Sex tena ila alicho niambia nahisi kama ni utani wakuu naombeni ushauri izi ndio massage zake nimeshindwa ata chakumjibu wakuu
Picsart_22-07-28_20-24-42-170.jpg
 
Alikwambia hajawahi kufanya sasa kabadili gia angani eti kashawahi mara mbili
Umepigwa

Muombe na wewe akupe mara mbili
Amuulize hizo mara 2 alizompea mshikaji ni katika muda gani, kama ni ndani ya miezi 6, basi apige hesabu miezi 6 katika miaka yao miwili ya mapenzi inaingia mara ngapi kama ni 4 basi inabidi ampe mara 8 kufidia, kisha ndio waanze upya. 😂
 
Kishakwambia hajisikii kufanya sex na ameharibiwa kisaikolojia na mwanaume aliyempenda huwezi jua huyo Mwanaume alimfanyia rough gani hadi binti amekua na phobia ya sex (Genophobia) au labda ni Asexual,
Muhimu ni kuzungumza nae uso kwa uso akueleze story yake na tiba zipo hospital au achana nae tafuta mwingine.

Be Positive.
 
Back
Top Bottom