Roho inaniuma. Amekosea maessage akaituma kwangu.

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
42,500
Reaction score
105,116
Nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi nitakaporudi huko Tz.
Leo baada ya kutoka kibaruani tukaanza kuchat kamakawaida, chaajabu akanitumi massege ya kuahidi kufika mapema ilikua ina maneno ya mahaba yakiambatana na shukrani kwa penzi (makatiko) alopewa.
Nilipo muuliza kuhusu hiyo massege, amekaa kimya na nikimpigia cm hapoke.
Hadi nalileta kwenu wadau, nimekosa usingizi na sijui lakufanya.
 
Simplicity ninaomba umshauri huyu....yale yale ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia akiwa abroad
 
Last edited by a moderator:

Ukiona manyoya.............
Pole sana, we songa mbele tu na life lako. Usije tu ukamuibukia na SMG mtoto wa watu kama wale wa pande za kule kwetu Moshi.
 
We endelea tu kumganda ila hakikisha unamiliki silaha kabisa. Ili yatakapobuma ujimalize mwenyewe ila chonde chonde usiingize wasiohusika!

Nimdada mrembo wa haja na mwenye sura ya kuvutia, kwa mujibu wa picture ambazo amekua akinitumi.
Huyu dada tulikutana kwenye moja ya social net, tukapendana na kukubaliana kuwa wapenzi pindi nitakaporudi huko Tz.
Leo baada ya kutoka kibaruani tukaanza kuchat kamakawaida, chaajabu akanitumi massege ya kuahidi kufika mapema ilikua ina maneno ya mahaba yakiambatana na shukrani kwa penzi (makatiko) alopewa.
Nilipo muuliza kuhusu hiyo massege, amekaa kimya na nikimpigia cm hapoke.
Hadi nalileta kwenu wadau, nimekosa usingizi na sijui lakufanya.
 
mkuu anza kuurekebisha moyo wako, mungu amekupenda. Sasa ukimng'ang'ania shauri yako utakuja kuendeleza tamthilia ya ufoo
 
we jamaa itakua wa ushirombo ! sasa demu hamjaonana unaumia kichwa ch nini? hebu ng'oa mtoto huko huko mbele.
 
Endelea kushikilia pembe wakati huo huo wenzako wanakamua maziwa.
 
Ukiona manyoya.............
Pole sana, we songa mbele tu na life lako. Usije tu ukamuibukia na SMG mtoto wa watu kama wale wa pande za kule kwetu Moshi.

Namuamini mungu mkuu.
Asante kwa kunipa tahadhari
 
kwa picha tu alishakuteka...!! chunga sana wengne ni wanaume.

hahaaa, hi kali mkuu nimeipenda. Mnakutana online hata kuonana bado na mnaahidiana mambo kibao.
Mwisho wa ck mtafunga ndoa hukohuko online, sasa sijui watoto mtazaaje?
 
Mkuu anza kumsahau taratibu,hata mimi nilishawahi kumbana na hali hiyo.Kwa kifupi sikutaka tena maelezo.Mwanamme chukua uamuzi haraka,kabla bastola haijakuteka.
 
Simplicity ninaomba umshauri huyu....yale yale ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia akiwa abroad

Ngoja me nimuambie kama hajui kinachoendelea Bongo, huku ukikutwa na mke wa akina Mangi ubongo wako halali yao, kwhyo angalia na huyo mwanamke unaemchukua
 
Last edited by a moderator:
Kumegewa ni siri ya ndani, hilo ulijue na ujipime kama u nakifua kikubwa songa mbele
 
Back
Top Bottom